Loading...

MAMLAKA YA HALI YA HEWA YAZUNGUMZIA MVUA ZA MASIKA

Loading...
MAMLAKA YA HALI YA HEWA YAZUNGUMZIA MVUA ZA MASIKA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAMLAKA YA HALI YA HEWA YAZUNGUMZIA MVUA ZA MASIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAMLAKA YA HALI YA HEWA YAZUNGUMZIA MVUA ZA MASIKA
link : MAMLAKA YA HALI YA HEWA YAZUNGUMZIA MVUA ZA MASIKA

soma pia


MAMLAKA YA HALI YA HEWA YAZUNGUMZIA MVUA ZA MASIKA

Na Karama Kenyuko, Globu ya jamii 

MAMLAKA ya Utabiri wa Hali ya Hewa(TMA) imetoa utabiri wa mvua za masika ambazo tayari zimeanza kwa baadhi ya mikoa na zitaendelea kunyesha hadi mwaka huu. 

Taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyoitoa leo jijini Dar es Salaam imesema utabiri wa mvua za masika (MAM) 2019 ni kwamba kuanzia wiki ya nne ya Februari katika mikoa ya Kagera mvua itanyesha na kusambaa katika mikoa ya Geita, Mwanza, Shinyanga,Simiyu,Kigoma Kaskazini na Mara wiki ya pili ya Machi 2019. 

Mvua hizo kwa baadhi ya meeneo zitakuwa juu ya wastani hadi wastani na kwamba mvua za msimu 2018,2019 zinaendelea hadi Aprili mwaka huu.Kwa mujibu wa TMA ni kwamba mvua zitaisha wiki ya kwanza ya Mei mwaka huu. 

Pia kuanzia kati ya wiki ya nne ya Februari na wiki ya kwanza ya Machi 2019 mvua itanyesha katika maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam, Pwani ,Visiwa vya Unguja na Pemba na kusambaa maeneo ya mikoa ya Tanga na Morogoro Kaskazini ifikapo wiki ya kwanza ya Machi 2019 na itaisha wiki ya nne ya Aprili 2019.


Hivyo makala MAMLAKA YA HALI YA HEWA YAZUNGUMZIA MVUA ZA MASIKA

yaani makala yote MAMLAKA YA HALI YA HEWA YAZUNGUMZIA MVUA ZA MASIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAMLAKA YA HALI YA HEWA YAZUNGUMZIA MVUA ZA MASIKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/mamlaka-ya-hali-ya-hewa-yazungumzia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAMLAKA YA HALI YA HEWA YAZUNGUMZIA MVUA ZA MASIKA"

Post a Comment

Loading...