Loading...

Masheha wateule waapishwa Wilaya ya Chake

Loading...
Masheha wateule waapishwa Wilaya ya Chake - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Masheha wateule waapishwa Wilaya ya Chake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Masheha wateule waapishwa Wilaya ya Chake
link : Masheha wateule waapishwa Wilaya ya Chake

soma pia


Masheha wateule waapishwa Wilaya ya Chake

 MASHEHA wateuliwa Hamad Abdalla Ali wa shehia ya Msingini na Mbwana Ali omar wa Ngambwa Wilaya ya Chake Chake, wakisubiri muda kufika ili kula kiapo cha uteuzi wa kuwa shehai wa shehia zao, hafla iliyofanyika katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 SHEHA  wa shehia ya Msingini Wilaya ya Chake Chake Hamad Abdalla Ali, akila kiapo cha kuteuliwa kuwa sheha wa shehia hiyo, huku viongozi mbali mbali wa serikali na kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Kusini Pemba, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo Hemed Suleiman Abdalla.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akimuangalia sheha wa shehia ya Msingini Hamad Abdalla Ali, wakati alipokuwa akila kiapo cha kuwa sheha wa shehia hiyo, halfa hiyo iliyofanyika katika ofisi ya Mkuu huyo wa Mkoa Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

SHEHA wa Shehia ya Ngambwa Wilaya ya Chake Chake Mbwana Ali Omar, akila kiapo cha kuteuliwa kuwa sheha wa shehia hiyo, Mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, hafla hiyo iliyofanyika katika ofisi ya Mkuu huyo wa Mkoa Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


Hivyo makala Masheha wateule waapishwa Wilaya ya Chake

yaani makala yote Masheha wateule waapishwa Wilaya ya Chake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Masheha wateule waapishwa Wilaya ya Chake mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/masheha-wateule-waapishwa-wilaya-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Masheha wateule waapishwa Wilaya ya Chake"

Post a Comment

Loading...