Loading...
title : MASHINA YENYE BENDERA YA CUF ZANZIBAR YAANZA KUBADILISHWA RANGI NA KUPAKWA YA ACT-WAZALENDO
link : MASHINA YENYE BENDERA YA CUF ZANZIBAR YAANZA KUBADILISHWA RANGI NA KUPAKWA YA ACT-WAZALENDO
MASHINA YENYE BENDERA YA CUF ZANZIBAR YAANZA KUBADILISHWA RANGI NA KUPAKWA YA ACT-WAZALENDO
Na Ripota Wetu,Globu ya jamii
MOTO umewaka CUF!Ndio maneno unayoweza kuelezea mgogoro unaondelea ndani ya Chama cha Wananchi(CUF) ambapo imefikia hatua ya kufuta rangi ya chama hicho katika vijiwe vya matawi na kupaka rangi ya ACT-Wazalendo.
Kufutwa kwa rangi ya CUF kwenye mashina hayo kuna baada ya Mahakama kutoa uamuzi unamtambua Profesa Ibrahim Lupumba kama Mwenyekiti halali wa Chama hicho.
Baadhi ya mashina ya CUF ambayo yameonekana yakifutwa ni yale yaliyokuwa visiwani Pemba katika tawi la Jows Corner Stone Town ambapo baadhi ya wanachama wameamua kufuta rangi ya CUF na kukapa rangi ya bendera ya ACT-Wazalendo.
Hata hivyo inaelezwa kuna tetesi zinazodai huenda Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akahamia Chama cha ACT-Wazalendo ambacho kiongozi wake ni Mbunge Kigoma Mjini Zitto Kabwe.
Michuzi Blog itaendelea kukupa taarifa zaidi ya kinachoendelea ndani ya CUF kwa sasa...
Hivyo makala MASHINA YENYE BENDERA YA CUF ZANZIBAR YAANZA KUBADILISHWA RANGI NA KUPAKWA YA ACT-WAZALENDO
yaani makala yote MASHINA YENYE BENDERA YA CUF ZANZIBAR YAANZA KUBADILISHWA RANGI NA KUPAKWA YA ACT-WAZALENDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MASHINA YENYE BENDERA YA CUF ZANZIBAR YAANZA KUBADILISHWA RANGI NA KUPAKWA YA ACT-WAZALENDO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/mashina-yenye-bendera-ya-cuf-zanzibar.html
0 Response to "MASHINA YENYE BENDERA YA CUF ZANZIBAR YAANZA KUBADILISHWA RANGI NA KUPAKWA YA ACT-WAZALENDO"
Post a Comment