Loading...

MBUNGE WA MCHINGA SWAHIBA WA MAALIM SEIF ATANGAZA KUMUUNGA MKONO PROFESA LIPUMBA

Loading...
MBUNGE WA MCHINGA SWAHIBA WA MAALIM SEIF ATANGAZA KUMUUNGA MKONO PROFESA LIPUMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBUNGE WA MCHINGA SWAHIBA WA MAALIM SEIF ATANGAZA KUMUUNGA MKONO PROFESA LIPUMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBUNGE WA MCHINGA SWAHIBA WA MAALIM SEIF ATANGAZA KUMUUNGA MKONO PROFESA LIPUMBA
link : MBUNGE WA MCHINGA SWAHIBA WA MAALIM SEIF ATANGAZA KUMUUNGA MKONO PROFESA LIPUMBA

soma pia


MBUNGE WA MCHINGA SWAHIBA WA MAALIM SEIF ATANGAZA KUMUUNGA MKONO PROFESA LIPUMBA


Mbunge wa Mchinga, Hamidu Bobali ambaye awali alikuwa akimuunga mkono Maalim Seif Sharif Hamad ndani ya CUF, sasa ametangaza kumuunga mkono mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba.

Bobali ametangaza uamuzi wa kumuunga mkono Profesa Lipumba leo Jumanne Machi 19, 2019 wakati akizungumza na wanahabari katika ofisi za makao makuu ya Buguruni, jijini Dar es Salaam.

Amesema wapo wengi watakaorudi kuungana na Profesa Lipumba na kusema hivi sasa ni wakati wa kukijenga chama hicho na walioondoka kwenda sehemu nyingine ni utashi wao.

"Nimerudi nyumbani baada ya msuguano uliodumu kwa miaka mitatu ndani ya CUF na uliokidhoofisha chama, nawaomba mnisamehe kwa yaliyotokea.

“Natoa rai kwa wabunge wenzangu, madiwani na wenyeviti tusikimbie chama chetu, natoa wito tuungane turudi nyumbani tuje tujenge chama chetu huko kwingine kunakoendewa hakuna mwelekeo wowote utakapopatikana,“

"Najua kuna wenzangu wanataka kurudi lakini wanashindwa wataanzia wapi, nawaambia mimi nimeonyesha njia waje wasiogope wakati ndio huu," amesema .

Kwa upande wake, Profesa Lipumba amesema hawana nia ya kuwafukuza uanachama wabunge hao bali wanataka nidhamu ndani ya CUF .

Bobali amechukua uamuzi huo wakati leo Jumanne Maalim Seif pamoja na viongozi mbalimbali waliokuwa CUF wamekabidhiwa kadi za uanachama wa ACT- Wazalendo.


Hivyo makala MBUNGE WA MCHINGA SWAHIBA WA MAALIM SEIF ATANGAZA KUMUUNGA MKONO PROFESA LIPUMBA

yaani makala yote MBUNGE WA MCHINGA SWAHIBA WA MAALIM SEIF ATANGAZA KUMUUNGA MKONO PROFESA LIPUMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE WA MCHINGA SWAHIBA WA MAALIM SEIF ATANGAZA KUMUUNGA MKONO PROFESA LIPUMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/mbunge-wa-mchinga-swahiba-wa-maalim.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBUNGE WA MCHINGA SWAHIBA WA MAALIM SEIF ATANGAZA KUMUUNGA MKONO PROFESA LIPUMBA"

Post a Comment

Loading...