Loading...
title : MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MWANAMWEMA SHEIN MGENI RASMIN SIKU YA WANAWAKE GOMBANI PEMBA LEO
link : MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MWANAMWEMA SHEIN MGENI RASMIN SIKU YA WANAWAKE GOMBANI PEMBA LEO
MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MWANAMWEMA SHEIN MGENI RASMIN SIKU YA WANAWAKE GOMBANI PEMBA LEO
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania.(UWT) Bi.Gaudensia Kabaka, alipowasili katika uwanja wa gombani Kisiwani Pemba, kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kitaifa zimefanyika Kisiwani Pemba katika Uwanja wa Gombani, leo 8-3-2019.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kitaifa Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba leo,8-3-2019.(Picha na Ikulu)
WANAWAKE kutoka sehemu mbalimbali Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akihutuba wakati wa hafla hiyo ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Pemba leo,8-3-2019.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akitembelea Maonesho ya Wajasiriamali Wanawake Kisiwani Pemba yaliofanyika katika viwanja vya Gombani chakechake, kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiangalia Bidhaa za Wajasiriamali Wanawake wa Kisiwani Pemba wakati akitembelea maonesho hayo ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kisiwani Pemba Uwanja wa Gombani, kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama.Asha Suleiman Iddi.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwasalimia Vijana wa Madrasa kutoka Chakechake wakipiga dufu, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kisiwani Pemba katika Uwanja wa Gombani.(Picha na Ikulu)
Hivyo makala MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MWANAMWEMA SHEIN MGENI RASMIN SIKU YA WANAWAKE GOMBANI PEMBA LEO
yaani makala yote MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MWANAMWEMA SHEIN MGENI RASMIN SIKU YA WANAWAKE GOMBANI PEMBA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MWANAMWEMA SHEIN MGENI RASMIN SIKU YA WANAWAKE GOMBANI PEMBA LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/mke-wa-rais-wa-zanzibar-mwanamwema.html
0 Response to "MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MWANAMWEMA SHEIN MGENI RASMIN SIKU YA WANAWAKE GOMBANI PEMBA LEO"
Post a Comment