Loading...
title : MKURUGENZI HALMASHAURI YA CHEMBA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI,ATOA AGIZO KWA WATENDAJI
link : MKURUGENZI HALMASHAURI YA CHEMBA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI,ATOA AGIZO KWA WATENDAJI
MKURUGENZI HALMASHAURI YA CHEMBA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI,ATOA AGIZO KWA WATENDAJI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, Dkt.Semistatus Mashimba amefanya ziara ya kutembelea baadhi ya shule za msingi za Chemba ikiwemo Songoro,Mapango na Chandama na kuangalia mazingira ya shule hizo ikiwemo kukagua taaluma na miundombinu ya shule hizo pamoja na changamoto wanazozikabili na namna ya kuzitatua,Pichani ni Mkurugenzi Dkt Mashimba akizungumza na baadhi ya Wafunzi wakati wa ziara yake.
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya chemba Dkt.Semistatus Mashimba akipata maelezo kidogo kutoka kwa mmoja wa mafundi ujenzi alipotembelea na kufanya ukaguzi wa ujenzi unavyoendelea katika hospitali ya wilaya ya Chemba.Dkt Mashimba amefanya ziara kwenye moja wapo ya mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Chemba hatua kwa hatua,ambapo alieleza na kutoa maagizo kwa Wakandarasi kuwa ifikapo Machi 31/2019 majengo ya Chemba yote yawe yamefikia hatua ya renta
Hivyo makala MKURUGENZI HALMASHAURI YA CHEMBA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI,ATOA AGIZO KWA WATENDAJI
yaani makala yote MKURUGENZI HALMASHAURI YA CHEMBA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI,ATOA AGIZO KWA WATENDAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI HALMASHAURI YA CHEMBA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI,ATOA AGIZO KWA WATENDAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/mkurugenzi-halmashauri-ya-chemba-afanya.html
0 Response to "MKURUGENZI HALMASHAURI YA CHEMBA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI,ATOA AGIZO KWA WATENDAJI"
Post a Comment