Loading...
title : MKURUGENZI SHIRIKA LA KIMATAIFA LA NGUVU ZA ATOMU (IAEA) KANDA YA AFRIKA KUTEMBELEA ZANZIBAR
link : MKURUGENZI SHIRIKA LA KIMATAIFA LA NGUVU ZA ATOMU (IAEA) KANDA YA AFRIKA KUTEMBELEA ZANZIBAR
MKURUGENZI SHIRIKA LA KIMATAIFA LA NGUVU ZA ATOMU (IAEA) KANDA YA AFRIKA KUTEMBELEA ZANZIBAR
Arusha, 12 Machi, 2019
Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomu (IAEA) kanda ya Afrika Profesa Shaukat Abdulrazak anatarajia kuonana na viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Marchi 13.
Mkurugenzi huyo ataambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania Profesa Lazaro Busagara ambao watapata nafasi ya kufanya mazungumzo na viongozi mbali mbali.
Mkurugenzi huyo aliweza pia kuhudhuria ufunguzi wa mkutano wa kimataifa wa waratibu (NLOs) wa miradi ya Sayansi na Teknolojia ya Nyuklia unaowahusisha nchi wanachama 46 wa Shirika la Nguvu za Atomu Duniani uliofunguliwa March 11 na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. William Ole Nasha unaoendelea jijini Arusha.
Shirika la Nguvu za Atom duniani IAEA linatoa ufadhili kwa serikali ya Tanzania katika miradi mbali mbali inayohusisha sekta za Afya, Kilimo, Maji, Mifugo, Rasilimaliwatu, Nishati na Viwanda ambapo mpaka sasa ni jumla ya shilingi za kitanzania bilioni 9.5 zimetolewa kwa ajili ya ununuzi wa vifaa na gharama za mafunzo kwa wataalamu katika masuala ya afya.
Imetolewa na;
Kitengo cha Mawasiliano
Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania
Hivyo makala MKURUGENZI SHIRIKA LA KIMATAIFA LA NGUVU ZA ATOMU (IAEA) KANDA YA AFRIKA KUTEMBELEA ZANZIBAR
yaani makala yote MKURUGENZI SHIRIKA LA KIMATAIFA LA NGUVU ZA ATOMU (IAEA) KANDA YA AFRIKA KUTEMBELEA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI SHIRIKA LA KIMATAIFA LA NGUVU ZA ATOMU (IAEA) KANDA YA AFRIKA KUTEMBELEA ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/mkurugenzi-shirika-la-kimataifa-la.html
0 Response to "MKURUGENZI SHIRIKA LA KIMATAIFA LA NGUVU ZA ATOMU (IAEA) KANDA YA AFRIKA KUTEMBELEA ZANZIBAR"
Post a Comment