Loading...
title : Mkuu wa Wilaya ya Wete ashiriki usafi Hospitali ya Wete
link : Mkuu wa Wilaya ya Wete ashiriki usafi Hospitali ya Wete
Mkuu wa Wilaya ya Wete ashiriki usafi Hospitali ya Wete
MKUU wa Wilaya ya Wete Abeid Juma Ali akifanya usafi wa mazingira katika hospitali ya Wete, ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 42 ya kuanzishwa kwa jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Zanzibar. (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA)
WAPIGANAJI wa Jeshi la Kujenga Uchumi (Jku) Pemba wakishiriki katika zoezi la usafi huko katika hospitali ya Wete, ikiwa ni shamra shamra za kusherehekea kutimiza miaka 42 ya kuanzishwa kwa jeshi hilo, ( PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA )
Hivyo makala Mkuu wa Wilaya ya Wete ashiriki usafi Hospitali ya Wete
yaani makala yote Mkuu wa Wilaya ya Wete ashiriki usafi Hospitali ya Wete Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkuu wa Wilaya ya Wete ashiriki usafi Hospitali ya Wete mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/mkuu-wa-wilaya-ya-wete-ashiriki-usafi.html
0 Response to "Mkuu wa Wilaya ya Wete ashiriki usafi Hospitali ya Wete"
Post a Comment