Mtanzania ateuliwa kuongoza Taasisi ya Kimataifa nchini China - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mtanzania ateuliwa kuongoza Taasisi ya Kimataifa nchini China, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Mtanzania ateuliwa kuongoza Taasisi ya Kimataifa nchini Chinalink :
Mtanzania ateuliwa kuongoza Taasisi ya Kimataifa nchini China
soma pia
Mtanzania ateuliwa kuongoza Taasisi ya Kimataifa nchini China
|
Balozi Mstaafu, Mhe. Ali Mchumo (Pichani) kutoka Tanzania ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kimataifa ya International Network for Bamboo and Rattan (INBAR) yenye makao yake makuu mjini Beijing, China.
Taarifa ya uteuzi wake imetangazwa tarehe 25 Machi 2019 katika tovuti ya taasisi ya INBAR. Taasisi ya INBAR ilianzishwa mwaka 1997 kwa madhumuni ya kukuza matumizi ya mianzi (Bamboo) kama njia endelevu ya utunzaji wa mazingira .
Taasisi hiyo inaundwa na nchi wanachama 45 na ina ofisi zake za kanda nchini Ethiopia, Ghana na Equador. Tanzania ni mojawapo ya nchi mwanachama mwanzilishi wa taasisi hiyo na imenufaika na uwepo wa taasisi hiyo kupitia miradi mbalimbali iliyofadhiliwa na INBAR pamoja na mafunzo kwa wataalam wa zao la mianzi.
|
Hivyo makala Mtanzania ateuliwa kuongoza Taasisi ya Kimataifa nchini China
yaani makala yote Mtanzania ateuliwa kuongoza Taasisi ya Kimataifa nchini China Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mtanzania ateuliwa kuongoza Taasisi ya Kimataifa nchini China mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/mtanzania-ateuliwa-kuongoza-taasisi-ya.html
0 Response to "Mtanzania ateuliwa kuongoza Taasisi ya Kimataifa nchini China"
Post a Comment