Loading...

PICHA HII INANITOA MACHOZI,niifute ama niiache kama kumbukizi? Nishaurini.

Loading...
PICHA HII INANITOA MACHOZI,niifute ama niiache kama kumbukizi? Nishaurini. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PICHA HII INANITOA MACHOZI,niifute ama niiache kama kumbukizi? Nishaurini., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PICHA HII INANITOA MACHOZI,niifute ama niiache kama kumbukizi? Nishaurini.
link : PICHA HII INANITOA MACHOZI,niifute ama niiache kama kumbukizi? Nishaurini.

soma pia


PICHA HII INANITOA MACHOZI,niifute ama niiache kama kumbukizi? Nishaurini.

Picha hii Ilipigwa 15/August/2018, ni dhahiri ni picha ya Mwisho Ruge kuonekana Public,alikua na nafuu,alikuja ofisini, juzi yake nilikua nimepokea ujumbe kuachana na Clouds kuuanza Utumishi wa Umma na mtu wa kwanza kumpigia kabla hata ya baba yangu mzazi alikua ni Ruge si kwa nia mbaya ila nilitaka mwongozo wa Haraka.

Alifurahia na hapo hapo Aliwapigia simu viongozi mbalimbali kwa wito wangu na direct hasa Katibu mkuu Utumishi Dk.Ndumbaro akimuomba anipokee kijana wake serikalini na akimsisitiza kua “ni kijana niliemlea kwa nguvu sana na nimewekeza sana kwake, mtumie vizuri, nimeumia kumpoteza ila ni kazi yangu kuandaa vijana wakaitumikie nchi yao,alimwambia huyu ni azina kwa taifa hili na atawasaidia”,aliyasema haya akiwa kitandani anaumwa.

Baada ya kuripoti siku hii pichani alipata nafu akaenda ofisini akanisihi nije Dar niondoke Dodoma haraka anataka anipe baraka zake na kunikutanisha na Mwalim wangu wa Sayansi ya Siasa Ndugu Bashiru Katibu Mkuu wa CCM Taifa ofisini kwa Clouds ambae pia alifanya kipindi Clouds360 siku hiyo, alimwambia Katibu “kijana wangu huyu Serikali imeninyang’anya anaenda Pangani kuitumikia nchi,ni kijana ninaemuamini sana na ana uwezo mkubwa sana” baada ya hapo tuliongea mengi na baadae kumsindikiza katibu mkuu chama na kupiga picha ya ukumbusho na kumbe ni picha ya mwisho na akaniita tena ofisini na kunambia “nenda usiniangushe na usiisahau Clouds na THT ,utafika mbali”.

Ulilalamika kuwa naondoka huku unaniitaji sana na umeniandaa ili nije kuuinua Clouds Media mimi na vijana wengine unaowatengeneza maana unataka kupumzika mambo ya Clouds hivo utatuachia sisi sikuelewa kupumzika kwa maana gani?

Picha hii imenikumbusha mafundisho ulionipa mara zote, ni kila wakati naada ya kazi ungenpigia kila mmoja aliefanikisha kumwambia “Im proud of you” ,ulikua mtu wa kutoa moyo sana na kushukuru kila jambo, lililofanikiwa kwenye project zako

Ruge nadhani tunapaswa kuandika KITABU juu yako na natoa rai tuungane kufanya hili..!tukisema mengi tutawachanganya watu, wengine hawaelewi wanahisi tunaongeza chumvi ila ni wazi kwetu ulikuna kama NABII..!
Sisi nasi tuna mioyo ya namba gani tusikulilie kwa kilio cha uchungu na machozi ya damu.?
#shujaamwogozanjia


Na Gibson George Bayona Ruge.
 


Hivyo makala PICHA HII INANITOA MACHOZI,niifute ama niiache kama kumbukizi? Nishaurini.

yaani makala yote PICHA HII INANITOA MACHOZI,niifute ama niiache kama kumbukizi? Nishaurini. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PICHA HII INANITOA MACHOZI,niifute ama niiache kama kumbukizi? Nishaurini. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/picha-hii-inanitoa-machoziniifute-ama.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "PICHA HII INANITOA MACHOZI,niifute ama niiache kama kumbukizi? Nishaurini."

Post a Comment

Loading...