Loading...
title : Prof. Kabudi akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi
link : Prof. Kabudi akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi
Prof. Kabudi akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba J. Kabudi (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mikhail Bogdanov, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Urusi katika Ofisi Ndogo ya Wizara Jijini Dar es Salaam. Wamezungumzia masuala mbalimbali yaliyolenga kuboresha na kuimarisha uhusiano na ushirikiano baina ya mataifa haya mawili, hususan, katika Nyanja ya kidiplomasia, nishati, biashara na uwekezaji. Naibu Waziri huyo yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Mawaziri wanaendelea na mazungumzo hayo, huku ujumbe aliofuatana nao Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi ukifuatilia mazungumzo hayo
utoka kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Mej. Jenerali mstaafu Simon Mumwi, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika, Bw. Jestas Nyamanga, Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Yuri Popov na Afisa wa Ubalozi wa Urusi nchini Tanzania wakifuatilia mazungumzo ya Mawaziri.
Hivyo makala Prof. Kabudi akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi
yaani makala yote Prof. Kabudi akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Prof. Kabudi akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/prof-kabudi-akutana-na-naibu-waziri-wa.html
0 Response to "Prof. Kabudi akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi"
Post a Comment