Loading...

Profesa Kabudi akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda

Loading...
Profesa Kabudi akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Profesa Kabudi akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Profesa Kabudi akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda
link : Profesa Kabudi akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda

soma pia


Profesa Kabudi akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Dkt. Richard Sezibera. Katika mazungumzo yao,Sezibera alimpongeza  Prof. Kabudi kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Mazungumzo hayo yalihudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe, Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Ernest Mangu na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Wilbroad Kayombo. Sezibera yupo nchini kwa ajili ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Rwanda,  Paul Kagame. 
Balozi wa Rwanda nchini Tanzania,  Eugene Kayihura (kulia) na Afisa Ubalozi wa Rwanda wakifuatilia mazungumzo kati ya Prof. Kabudi na  Dkt. Sezibera (hawapo pichani). 
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi akimwelezea jambo Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Dkt. Richard Seziberawakati wa mazungumzo hayo.
Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe, Balozi wa Tanzania nchini Rwanda,  Ernest Mangu pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika Bw. Wilbroad Kayombo wakiwa kwenye Mazungumzo. 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,  Prof. Palamagamba Kabudi (katikati) pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda,  Dkt. Richard Sezibera (wapili kutoka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,  Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe, Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Ernest Mangu (wa kwanza kulia) na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura (wa kwanza kushoto) mara baada ya kumaliza mazungumzo yao. 


Hivyo makala Profesa Kabudi akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda

yaani makala yote Profesa Kabudi akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Profesa Kabudi akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/profesa-kabudi-akutana-na-waziri-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Profesa Kabudi akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda"

Post a Comment

Loading...