Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU RUGE MUTAHABA JIJINI DAR ES SALAAM
link : RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU RUGE MUTAHABA JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU RUGE MUTAHABA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima zake za mwisho kwa Marehemu Ruge Mutahaba alipoongoza maelfu ya waombolezaji kuuaga mwili wa marehemu ambaye aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi wa Clouds Entertainment kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumamosi March 2, 2019
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa Marehemu Ruge Mutahaba kwenye hafla ya kuuaga mwili wa marehemu ambaye aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi wa Clouds Entertainment katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumamosi March 2, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa ndugu na familia ya Marehemu Ruge Mutahaba alipoongoza maelfu ya waombolezaji kuuaga mwili wa marehemu aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi wa Clouds Entertainment kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumamosi March 2, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa pole kwa baadhi wananchi waliofikika kutoa heshima zao kwa Marehemu Ruge Mutahaba alipoongoza maelfu ya waombolezaji kuuaga mwili wa marehemu aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi wa Clouds Entertainment kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumamosi March 2, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine alipoongoza maelfu ya waombolezaji kuuaga mwili wa marehemu ambaye aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi wa Clouds Entertainment kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumamosi March 2, 2019
: Sehemu ya waombolezaji waliofika kuuaga mwili wa marehemu ambaye aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi wa Clouds Entertainment kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumamosi March 2, 2019
PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU RUGE MUTAHABA JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU RUGE MUTAHABA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU RUGE MUTAHABA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/rais-dkt-magufuli-aongoza-maelfu-ya.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU RUGE MUTAHABA JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment