Loading...
title : RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI IKULU ZANZIBAR
link : RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI IKULU ZANZIBAR
RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI IKULU ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas D.Ndumbaro, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulia leo, 1/3/2019.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha, leo, 1/3/2019. Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Mhe.Dkt. Damas D.Ndumbaro, wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar leo,1/3/2019.(Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI IKULU ZANZIBAR
yaani makala yote RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI IKULU ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI IKULU ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/rais-dktshein-azungumza-na-naibu-waziri.html
0 Response to "RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI IKULU ZANZIBAR"
Post a Comment