Loading...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohemed Shein Amefanya Uteuzi leo.

Loading...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohemed Shein Amefanya Uteuzi leo. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohemed Shein Amefanya Uteuzi leo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohemed Shein Amefanya Uteuzi leo.
link : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohemed Shein Amefanya Uteuzi leo.

soma pia


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohemed Shein Amefanya Uteuzi leo.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-

1. OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA, SERIKALI ZA MITAAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ.

i. Mkuu wa Wilaya ya Kati -Bibi Hamida Mussa Khamis.

ii. Naibu katibu Mkuu katika ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - Bwana Khalid Abdalla Omar.

iii. Katibu Tawala wa Mkoa wa Kusini, Pemba - Bwana Abdulla Rashid Ali.

iv. Katibu Tawala Wilaya ya Chake Chake - Bwana Omar Juma Ali.

2. OFISI YA RAIS, UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA.

i. Mkurugenzi wa Mipango, Sera na Utafiti katika Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora - Bwana Yussuf Mohammed Ali.

ii. Mkurugenzi wa Uendeshaji na Utumishi katika Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora - Bwana Bakari Khamis Muhidini.

3. WIZRA YA KATIBA NA SHERIA.

i. Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Sera na Utafiti katika Wizara ya Katiba na Sheria- Bibi Daima Mohamed Mkalimoto.

ii. Mkurugenzi wa Uendeshaji na Utumishi katika Wizara ya Katiba na Sheria - Bwana Juma Ali Simai.

4. WIZARA YA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI.

i. Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa  masuala ya Uvuvi na mazao ya baharini katika Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi- Dkt. Nariman Saleh Jidawi.

ii. Mkurugenzi wa Idara ya Uhakika wa Chakula na Lishe katika Wizara ya Kilimo Maliasili, Mifugo na Uvuvi- Bwana Hamadi Masoud Ali.

5. WIZARA YA HABARI, UTALII NA MAMBO YA KALE.

i. Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) - Dr. Juma Mohammed Salum.

ii. Katibu Mtendaji wa Tume ya Utagazaji ya Zanzibar- Bwana Omar Said Ameir.

6. WIZARA YA ARDHI, NYUMBA , MAJI NA NISHATI.

 Mkurugenzi wa Mipango, Sera na Utafiti katika Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati - Bwana  Yussuf Amour Ali.


Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohemed Shein Amefanya Uteuzi leo.

yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohemed Shein Amefanya Uteuzi leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohemed Shein Amefanya Uteuzi leo. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_10.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohemed Shein Amefanya Uteuzi leo."

Post a Comment

Loading...