Loading...

Rwanda yawasihi wananchi wake kusitisha ziara na biashara nchini Uganda

Loading...
Rwanda yawasihi wananchi wake kusitisha ziara na biashara nchini Uganda - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rwanda yawasihi wananchi wake kusitisha ziara na biashara nchini Uganda, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rwanda yawasihi wananchi wake kusitisha ziara na biashara nchini Uganda
link : Rwanda yawasihi wananchi wake kusitisha ziara na biashara nchini Uganda

soma pia


Rwanda yawasihi wananchi wake kusitisha ziara na biashara nchini Uganda

Serikali ya Rwanda imewasihi wananchi wake kusitisha ziara zao nchini Uganda baada ya kuishtumu nchi hiyo kuwanyanyasa raia wake wanaoishi ama kutembelea nchini humo.

Uganda imeishutumu Rwanda kufunga mipaka baina ya nchi mbili,lakini Rwanda imekanusha na kusema mipaka iko wazi.

Alhamisi iliyopita mamlaka ya mapato ya Rwanda iliamrisha maroli ya mizigo kutotumia tena mpaka wa Gatuna kwa madai ya shughuli za ujenzi wa kituo kimoja cha mpakani 'one stop border' baina yake na Uganda.

Kwa mjibu wa mamlaka ya mapato ya Rwanda malori yaliombwa kutumia mpaka wa pili wa Kagitumba kaskazini mwa Rwanda.Hata hivyo watumiaji wa mipaka hiyo miwili hupendelea njia ya mpaka wa Gatuna kuwa rahisi na fupi kuliko ya mpaka wa Kagitumba.

Rwanda inaishutumu Uganda kunyanyasa wanyarwanda wanaoishi ama kufanyia biashara nchini Uganda na pia kuunga mkono makundi ya waasi hususani kundi la Rwanda National Congres linaloongozwa na mkuu wa zamani wa majeshi Jenerali Kayumba Nyamwasa aliyeko uhamishoni nchini Afrika kusini.

Kwa upande mwingine, Uganda inashutumu Rwanda kwa vitendo vya kijasusi kwenye ardhi yake huku ikiwashuku baadhi ya raia wa Rwanda kuhusika na vitendo hivyo.



Hivyo makala Rwanda yawasihi wananchi wake kusitisha ziara na biashara nchini Uganda

yaani makala yote Rwanda yawasihi wananchi wake kusitisha ziara na biashara nchini Uganda Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rwanda yawasihi wananchi wake kusitisha ziara na biashara nchini Uganda mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/rwanda-yawasihi-wananchi-wake-kusitisha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Rwanda yawasihi wananchi wake kusitisha ziara na biashara nchini Uganda"

Post a Comment

Loading...