Loading...
title : Sakata la Chuo cha Diplomasia lahamia Takukuru
link : Sakata la Chuo cha Diplomasia lahamia Takukuru
Sakata la Chuo cha Diplomasia lahamia Takukuru
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji K. Mnyepe (kulia) akikabidhi ripoti za ukaguzi za Chuo cha Diplomasia, kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (PCCB), Bw. Diwani Athumani kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa tuhuma za ubadhilifu wa fedha uliofanywa na baadhi ya viongozi wa chuo hicho. Makabidhiano hayo yalifanyika leo kwenye Ofisi ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki jijini Dar Es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Diplomasia, Balozi Ombeni Sefue akishuhudia makabidhiano ya ripoti za ukaguzi ambazo zimeainisha ubadhilifu wa fedha katika Chuo cha Diplomasia.
Balozi Sefue (kushoto), Dkt. Mnyepe na Bw. Diwani wakibadilishana mawazo kuhusu utendaji kazi wa Chuo cha Diplomasia.
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Bw. Diwani Athumani akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Diplomasia, Balozi Ombeni Sefue.
Hivyo makala Sakata la Chuo cha Diplomasia lahamia Takukuru
yaani makala yote Sakata la Chuo cha Diplomasia lahamia Takukuru Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Sakata la Chuo cha Diplomasia lahamia Takukuru mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/sakata-la-chuo-cha-diplomasia-lahamia.html
0 Response to "Sakata la Chuo cha Diplomasia lahamia Takukuru"
Post a Comment