Loading...

SPIKA NDUGAI AWEKA JIWE LA MSINGI TAWI LA UBAGO WILAYA YA KATI MKOA WA KUSINI UNGUJA

Loading...
SPIKA NDUGAI AWEKA JIWE LA MSINGI TAWI LA UBAGO WILAYA YA KATI MKOA WA KUSINI UNGUJA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA NDUGAI AWEKA JIWE LA MSINGI TAWI LA UBAGO WILAYA YA KATI MKOA WA KUSINI UNGUJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA NDUGAI AWEKA JIWE LA MSINGI TAWI LA UBAGO WILAYA YA KATI MKOA WA KUSINI UNGUJA
link : SPIKA NDUGAI AWEKA JIWE LA MSINGI TAWI LA UBAGO WILAYA YA KATI MKOA WA KUSINI UNGUJA

soma pia


SPIKA NDUGAI AWEKA JIWE LA MSINGI TAWI LA UBAGO WILAYA YA KATI MKOA WA KUSINI UNGUJA

 Spika wa Bunge, Mjumbe wa Kamati Kuu CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kaskazini na Kusini Unguja Mhe. Job Ndugai akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Ofisi ya CCM Mkoa wa Kusini Unguja leo tarehe 28 Machi, 2019 Mjini Zanzibar.
 Spika wa Bunge, Mjumbe wa Kamati Kuu CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kaskaizni na Kusini Unguja Mhe. Job Ndugai akiweka jiwe la msingi Tawi la Ubago Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo tarehe 28 Machi, 2019 Mjini Zanzibar.
 Spika wa Bunge, Mjumbe wa Kamati Kuu CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kaskazini na Kusini Unguja Mhe. Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA), Ndg. Ali Abdu Ali (kushoto) wakati wa utandazaji wa mabomba ya maji safi na salama, kutoka kisima cha Bambi kuelekea Kijiji cha Uroa Jimbo la Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja leo tarehe 28 Machi, 2019 Mjini Zanzibar.
 Spika wa Bunge, Mjumbe wa Kamati Kuu CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kaskazini na Kusini Unguja Mhe. Job Ndugai akiongoza Waheshimiwa Wabunge kufukia bomba la maji wakati wa utandazaji wa mabomba ya maji safi na salama, kutoka kisima cha Bambi kuelekea Kijiji cha Uroa Jimbo la Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja leo tarehe 28 Machi, 2019 Mjini Zanzibar.

Spika wa Bunge, Mjumbe wa Kamati Kuu CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kaskazini na Kusini Unguja Mhe. Job Ndugai akizungumza na Wajumbe wa Kamati za Siasa za Halmashauri Kuu za CCM, pamoja na Kamati za utekelezaji Jumuiya za CCM ngazi ya Mkoa na Wilaya katika kikao kilichofanyika leo tarehe 28 Machi, 2019 Mkoa wa Kusini Unguja Mjini Zanzibar.
 Wajumbe wa Kamati za Siasa za Halmashauri Kuu za CCM Mkoa wa Kusini Unguja, pamoja na Kamati za utekelezaji Jumuiya za CCM ngazi ya Mkoa na Wilaya wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mjumbe wa Kamati Kuu CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kaskazini na Kusini Unguja Mhe. Job Ndugai (hayupo kwenye picha) katika kikao kilichofanyika leo tarehe 28 Machi, 2019 Mkoa wa Kusini Unguja Mjini Zanzibar.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala SPIKA NDUGAI AWEKA JIWE LA MSINGI TAWI LA UBAGO WILAYA YA KATI MKOA WA KUSINI UNGUJA

yaani makala yote SPIKA NDUGAI AWEKA JIWE LA MSINGI TAWI LA UBAGO WILAYA YA KATI MKOA WA KUSINI UNGUJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AWEKA JIWE LA MSINGI TAWI LA UBAGO WILAYA YA KATI MKOA WA KUSINI UNGUJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/spika-ndugai-aweka-jiwe-la-msingi-tawi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SPIKA NDUGAI AWEKA JIWE LA MSINGI TAWI LA UBAGO WILAYA YA KATI MKOA WA KUSINI UNGUJA"

Post a Comment

Loading...