Loading...

Tanroad mkoa wa Ruvuma yafanya zoezi la uchunguzi wa Afya kwa hiari kwa watumishi wake

Loading...
Tanroad mkoa wa Ruvuma yafanya zoezi la uchunguzi wa Afya kwa hiari kwa watumishi wake - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tanroad mkoa wa Ruvuma yafanya zoezi la uchunguzi wa Afya kwa hiari kwa watumishi wake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tanroad mkoa wa Ruvuma yafanya zoezi la uchunguzi wa Afya kwa hiari kwa watumishi wake
link : Tanroad mkoa wa Ruvuma yafanya zoezi la uchunguzi wa Afya kwa hiari kwa watumishi wake

soma pia


Tanroad mkoa wa Ruvuma yafanya zoezi la uchunguzi wa Afya kwa hiari kwa watumishi wake

Na Amri Mmanja, Ruvuma.

WAKALA wa Barabara (Tanroad) mkoa wa Ruvuma imefanya zoezi la uchunguzi wa Afya kwa hiari kwa watumishi wake. Meneja wa Tanroad mkoani Ruvuma Mhandisi Razak Alilanuswe alisema, zoezi hilo mbali kuwa litasaidia watumishi kutambua hali zao, litahamasisha watumishi kupenda kupima Afya zao mara kwa mara na kutumia kadi za Bima ya Afya kupata matibabu.

Alisema,huu ni mkakati uliowekwa na Tanroad kupitia vikao vya Baraza la wafanyakazi ambalo limeagiza kila mtumishi kuhakikisha anapima Afya na kupata muda kwa ajili ya mazoezi ili kuwa na utimamu wa kimwili. Kwa mujibu wake,mtumishi akitambua Afya ataweza kujitunza na hata wale watakokutwa na maradhi itakuwa rahisi kwao kuanza matibabu na kuendelea na majukumu yake ya kawaida.

Aidha,amewapongeza wafanyakazi kwa kujitokeza kwa wingi kupima Afya na kusisitiza kuwa, hatua hiyo itasaidia sana kuongeza ufanisi na hivyo kushiriki vema kuchochea kukua kwa uchumi wa Nchi yetu. Mmoja wa Wafanyakazi Geofrey Mwakalebela, amepongeza zoezi hilo na kushauri lifanyike mara kwa mara kwani litasaidia sana watumishi kutambua Afya zao.

Ameiomba Tanroad kuendelea kuboresha suala la wafanyakazi wake kushiriki na kufanya mazoezi angalau mara mbili kwa Mwezi kwani Mazoezi ni sehemu ya kipimo cha Afya.

Alisema, mtumishi mwenye Afya njema ana mchango mkubwa sehemu ya kazi tofauti na mgonjwa ambaye kimsingi hawezi kutoa mchango kwa sababu lmuda mwingi atalazimika kupumzika nyumban.

Kwa Upande wake Afisa lishe wa Manispaa ya Songea Anna Nombo alisema, kwa siku mbili ambazo zoezi hilo limefanyika walifanya uchunguzi wa Ini,HIV,Uzito,Urefu,Sukari pamoja na shinikizo la Damu(PB).

Nombo alisema, wale ambao wamekutwa na matatizo ikiwemo uzito uliokithiri wamepewa ushauri na namna ya kufanya ili kuzuia kuongezeka kwa maradhi na ambayo yanaweza kupelekea matatizo makubwa kiafya.
Mganga wa kituo cha Afya Mjimwema Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Dkt Grace Ndumbaro kulia akimpima Presha(BP)mmoja wa wafanyakazi wa Wakala wa Bara bara Tanroad mkoa wa Ruvuma ambaye hakufahamika jina lake mara moja,wakati wa Zoezi la uchunguzi wa Afya kwa Watumishi wa Tanroad mkoani Ruvuma.


Hivyo makala Tanroad mkoa wa Ruvuma yafanya zoezi la uchunguzi wa Afya kwa hiari kwa watumishi wake

yaani makala yote Tanroad mkoa wa Ruvuma yafanya zoezi la uchunguzi wa Afya kwa hiari kwa watumishi wake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tanroad mkoa wa Ruvuma yafanya zoezi la uchunguzi wa Afya kwa hiari kwa watumishi wake mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/tanroad-mkoa-wa-ruvuma-yafanya-zoezi-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Tanroad mkoa wa Ruvuma yafanya zoezi la uchunguzi wa Afya kwa hiari kwa watumishi wake"

Post a Comment

Loading...