Loading...

TANZANIA NA BRAZIL ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUINUA ZAO LA PAMBA NCHINI .

Loading...
TANZANIA NA BRAZIL ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUINUA ZAO LA PAMBA NCHINI . - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANZANIA NA BRAZIL ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUINUA ZAO LA PAMBA NCHINI ., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANZANIA NA BRAZIL ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUINUA ZAO LA PAMBA NCHINI .
link : TANZANIA NA BRAZIL ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUINUA ZAO LA PAMBA NCHINI .

soma pia


TANZANIA NA BRAZIL ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUINUA ZAO LA PAMBA NCHINI .


Anaandika Abdullatif Yunus

Tanzania na Nchi ya Brazil zimeingia makubaliano ya kufufua na kuinua upya Kilimo cha  Pamba Nchini, ili zao hilo liweze kuwa na tija kwa kumnufaisha Mkulima na Taifa kwa ujumla.

Makubaliano hayo baina ya Nchi za Tanzania, Burundi, Kenya na Brazil  yameingiwa mapema Machi 1, 2019 Jijini Mwanza katika Ukumbi wa Belmont Hotel katika Mkutano maalum wa kuinua kilimo cha Pamba "Victoria Cotton Project" ambapo mradi huo utajikita zaidi kuhakikisha wakulima wa zao hili Nchini na Nchi Wadau wanapata pembejeo bora na kwa wakati ,pia uzinduzi wa utafiti unamfikia Mkulima ili aweze kuongeza tija.
 Mh. Innocent Bashungwa Naibu Waziri wa Kilimo, akiwa na baadhi ya wajumbe pamoja na wadau wa zao la Pamba kutoka ndani na nje ya Nchi, wakati walipotembelea moja ya mashamba ya Pamba Jijini Mwanza.
 Pichani ni Balozi wa Brazil Nchini Tanzania Antonio Augusto Martins akizungumza na wajumbe wa Mkutano wa Uzinduzi wa Mradi wa Kuinua Kilimo cha Pamba,(hawapo pichani) uliofanyika Jijini Mwanza, Pembeni ni Naibu Waziri wa Kilimo Innocent Bashungwa.
 Sehemu ya Wajumbe wakiohudhuria Uzinduzi wa Mradi wa Kuinua Kilimo cha Pamba "Victoria Cotton Project" wakifuatilia Mkutano huo Jijini Mwanza.
Pichani ni Naibu Waziri wa Kilimo Nchini, Innocent Bashungwa akichangia katika Mkutano maalumu wa Victoria Cotton Project uliozinduliwa Machi 11, 2019. Jijini Mwanza na kuzishirikisha Nchi za Kenya, Burundi na Brazil.


Hivyo makala TANZANIA NA BRAZIL ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUINUA ZAO LA PAMBA NCHINI .

yaani makala yote TANZANIA NA BRAZIL ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUINUA ZAO LA PAMBA NCHINI . Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANZANIA NA BRAZIL ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUINUA ZAO LA PAMBA NCHINI . mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/tanzania-na-brazil-zaingia-makubaliano.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TANZANIA NA BRAZIL ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUINUA ZAO LA PAMBA NCHINI ."

Post a Comment

Loading...