Loading...

TASAF YATUMIA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUTOA MISAADA HOSPITALI YA RUFAA YA MWANANYAMALA JIJINI DAR ES SALAAM.

Loading...
TASAF YATUMIA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUTOA MISAADA HOSPITALI YA RUFAA YA MWANANYAMALA JIJINI DAR ES SALAAM. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TASAF YATUMIA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUTOA MISAADA HOSPITALI YA RUFAA YA MWANANYAMALA JIJINI DAR ES SALAAM., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TASAF YATUMIA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUTOA MISAADA HOSPITALI YA RUFAA YA MWANANYAMALA JIJINI DAR ES SALAAM.
link : TASAF YATUMIA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUTOA MISAADA HOSPITALI YA RUFAA YA MWANANYAMALA JIJINI DAR ES SALAAM.

soma pia


TASAF YATUMIA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUTOA MISAADA HOSPITALI YA RUFAA YA MWANANYAMALA JIJINI DAR ES SALAAM.


Na Estom Sanga-DSM

Wanawake wanaofanyakazi katika Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF wameitumia siku ya Maadhimisho ya Wanawake Duniani kuwatembelea na kuwafariji Wanawake na Watoto waliolazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala jijini Dar es salaam.

Wakiwa hospitalini hapo Wafanyakazi hao wanawake kutoka TASAF wametoa zawadi mbalimbali kwa Wagonjwa na hospitali yenyewe.

Wakitoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko huo wa Maendeleo ya Jamii-,Bw. Ladislaus Mwamanga, Wafanyakazi hao wamebainisha kuwa Mfuko huo unaohudumia wanawake na watoto kupitia Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini-PSSN- unatambua jitihada kubwa zinazofanywa na Serikali katika kuboresha huduma za Jamii ikiwemo sekta ya Afya nchini.

“Hii ni sehemu ndogo ya mchango wetu katika sekta ya Afya,tunaomba muipokee” imebainisha sehemu ya salamu hizo.

Miongoni mwa zawadi zilizopelekwa katika hospitali hiyo na wanyakazi hao wa kike wa TASAF ni pamoja na viti vya wagonjwa,pumpers, na viti vya plastiki.

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii –TASAF licha ya kutumia Mpango wake wa Kunusuru Kaya Maskini kutoa ruzuku kwa Kaya Maskini zaidi ya Milioni Moja na Laki Moja kote Tanzania Bara, Unguja na Pemba, lakini pia umekuwa ukijenga miundombinu hususani majengo ya zahanati ,nyumba za Wauguzi na Waganga kwenye maeneo yenye uhitaji nchini kote.



Wafanyakazi Wanawake kutoka TASAF wakiwa katika picha ya pamoja ba baadhi ya wauguzi katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam baada ya kumaliza utoaji wa zawadi kwa wagonjwa wa kike na watoto katika hospitali hiyo.

Baadhi ya wafanyakazi Wanawake wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAFofisi ndogo ya Dar es Salaam wakibeba zawadi mbalimbali kwa Wanawake na Watoto waliolazwa kwenye hospitali ta Rufaa ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani.


Hivyo makala TASAF YATUMIA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUTOA MISAADA HOSPITALI YA RUFAA YA MWANANYAMALA JIJINI DAR ES SALAAM.

yaani makala yote TASAF YATUMIA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUTOA MISAADA HOSPITALI YA RUFAA YA MWANANYAMALA JIJINI DAR ES SALAAM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TASAF YATUMIA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUTOA MISAADA HOSPITALI YA RUFAA YA MWANANYAMALA JIJINI DAR ES SALAAM. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/tasaf-yatumia-siku-ya-wanawake-duniani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TASAF YATUMIA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUTOA MISAADA HOSPITALI YA RUFAA YA MWANANYAMALA JIJINI DAR ES SALAAM."

Post a Comment

Loading...