Loading...
title : Uzinduzi wa jukwaa la NAWEZA wafana Jijini Mwanza
link : Uzinduzi wa jukwaa la NAWEZA wafana Jijini Mwanza
Uzinduzi wa jukwaa la NAWEZA wafana Jijini Mwanza
Kaimu Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Esther Mariki akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa jukwaa la mawasiliano ya afya kwa watu wazima liitwalo NAWEZA lililo chini ya mradi wa USAID TULONGE AFYA. Uzinduzi huo ulifanyika jana Machi 06, 2019 Jijini Mwanza, lengo likiwa ni kuhamasisha utekelezaji wa afya mbalimbali ili kuzuia vifo vitokanavyo na uzazi pamoja na watoto chini ya miaka mitano. BMG Habari
Kaimu Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Esther Mariki akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa jukwaa la Naweza.
Kaimu Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Esther Mariki akizungumza kwenye uzinduzi huo.
Kaimu Katibu Tawala mkoani Mwanza, Emily Kasagara akizungumza kwenye uzinduzi huo.
Ukumbusho wa picha na viongozi mbalimbali.
Tazama BMG Online TV hapa chini
Hivyo makala Uzinduzi wa jukwaa la NAWEZA wafana Jijini Mwanza
yaani makala yote Uzinduzi wa jukwaa la NAWEZA wafana Jijini Mwanza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Uzinduzi wa jukwaa la NAWEZA wafana Jijini Mwanza mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/uzinduzi-wa-jukwaa-la-naweza-wafana.html
0 Response to "Uzinduzi wa jukwaa la NAWEZA wafana Jijini Mwanza"
Post a Comment