Loading...
title : VODACOM TANZANIA FOUNDATION YADHAMINI WASICHANA MKOANI LINDI KUPEWA ELIMU YA AFYA YA UZAZI
link : VODACOM TANZANIA FOUNDATION YADHAMINI WASICHANA MKOANI LINDI KUPEWA ELIMU YA AFYA YA UZAZI
VODACOM TANZANIA FOUNDATION YADHAMINI WASICHANA MKOANI LINDI KUPEWA ELIMU YA AFYA YA UZAZI
Meneja wa Vodacom mkoa wa Lindi, Omary Kilumanga akikabidhi baadhi ya taulo za kike kwa mkuu wa wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga kwa ajili ya kugawa kwa wanawake wa wilaya hiyo hivi karibuni kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Sherehe hizi ziliandaliwa na taasisi ya T-Marc Tanzania chini ya mradi wa Hakuna wasichoweza unaotoa elimu ya afya ya uzazi kwa wasichana kwa kudhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation.
Meneja wa Vodacom mkoa wa Lindi, Omary Kilumanga akikabidhi taulo za kike kwa wanawake wa Lindi hivi karibuni kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani chini ya mradi unaotekelezwa na taasisi ya T-Marc Tanzania wa Hakuna wasichoweza unaotoa elimu ya afya ya uzazi kwa wasichana kwa udhamini wa Vodacom Tanzania Foundation.
Hivyo makala VODACOM TANZANIA FOUNDATION YADHAMINI WASICHANA MKOANI LINDI KUPEWA ELIMU YA AFYA YA UZAZI
yaani makala yote VODACOM TANZANIA FOUNDATION YADHAMINI WASICHANA MKOANI LINDI KUPEWA ELIMU YA AFYA YA UZAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM TANZANIA FOUNDATION YADHAMINI WASICHANA MKOANI LINDI KUPEWA ELIMU YA AFYA YA UZAZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/vodacom-tanzania-foundation-yadhamini.html
0 Response to "VODACOM TANZANIA FOUNDATION YADHAMINI WASICHANA MKOANI LINDI KUPEWA ELIMU YA AFYA YA UZAZI"
Post a Comment