Loading...

WABUNGE WA CHADEMA SUZAN KIWANGA NA PETER LIJUALIKALI WAENDELEA KUSOTA LUMANDE

Loading...
WABUNGE WA CHADEMA SUZAN KIWANGA NA PETER LIJUALIKALI WAENDELEA KUSOTA LUMANDE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WABUNGE WA CHADEMA SUZAN KIWANGA NA PETER LIJUALIKALI WAENDELEA KUSOTA LUMANDE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WABUNGE WA CHADEMA SUZAN KIWANGA NA PETER LIJUALIKALI WAENDELEA KUSOTA LUMANDE
link : WABUNGE WA CHADEMA SUZAN KIWANGA NA PETER LIJUALIKALI WAENDELEA KUSOTA LUMANDE

soma pia


WABUNGE WA CHADEMA SUZAN KIWANGA NA PETER LIJUALIKALI WAENDELEA KUSOTA LUMANDE



Mbunge wa mlimba Susan Kiwanga na mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali wakijadili jambo Fulani katika mahakani ya Mkazi mkoa wa Morogoro kabla ya kesi yao kusomwa.


NA FARIDA SAIDY MOROGORO


WABUNGE wa Chama cha Deomkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Peter Lijualikali wa Jimbo la Kilombero na Suzan Kiwanga wa Jimbo la Mrimba na wafuasi saba wa chama hicho wamerudishwa mahabusu leo March 7,2019 baada ya kushindwa kutimza masharti ya dhamana yaliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro baada ya kusota mahabusu kwa siku kumi na saba.

Washitakiwa hao wamepewa masharti ya dhamana na Hakimu Mfawidhi Elizabeth Nyembele ambapo amesema pingamizi lililowekwa kwa upande wa Jamhuri halikuzingatia sheria hivyo kuamua kulitupilia mbali pingamizi hilo.

Katika masharti hayo, washitakiwa wametakiwa kuwa na wadhamini wawili kila mmoja ambapo wa kwanza anatakiwa kusaini bondi ya Milioni tano na wapili awe na mali isiyohamishika yenye thamani ya shilingi milioni tatu na nusu na kwamba kesi hiyo itaanza kusikilizwa March 22 mwaka huu.

Hata hivyo kutokana na uamuzi huo wa mahakama wakili wa upande wa utetezi Bw. Hekima Mwasiku amesema kuwa atahakikisha wateja wake wanatimiza masharti ya ya dhamana.

Washitakiwa hao wanadaiwa kushitakiwa kwa kosa la kufanya mkusanyiko usio halali, kula njama kutenda kosa, kufanya maandamano, kufanya uchochezi wa kutenda kosa, kuchoma moto ofisi ya serikali na kuharibu mali kwa makusudi makosa ambayo wanadaiwa kutenda katika marudio ya uchaguzi mdogo kata ya Sofi wilayani Malinyi Novemba 2017


Hivyo makala WABUNGE WA CHADEMA SUZAN KIWANGA NA PETER LIJUALIKALI WAENDELEA KUSOTA LUMANDE

yaani makala yote WABUNGE WA CHADEMA SUZAN KIWANGA NA PETER LIJUALIKALI WAENDELEA KUSOTA LUMANDE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WABUNGE WA CHADEMA SUZAN KIWANGA NA PETER LIJUALIKALI WAENDELEA KUSOTA LUMANDE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/wabunge-wa-chadema-suzan-kiwanga-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WABUNGE WA CHADEMA SUZAN KIWANGA NA PETER LIJUALIKALI WAENDELEA KUSOTA LUMANDE"

Post a Comment

Loading...