Loading...

wafanyakazi Vodacom Tanzania watembelea shule ya Sangu, Mbeya na shule ya Arusha Day kuadhimisha siku ya wananwake Duniani,watoa msaada wa vifaa mashuleni.

Loading...
wafanyakazi Vodacom Tanzania watembelea shule ya Sangu, Mbeya na shule ya Arusha Day kuadhimisha siku ya wananwake Duniani,watoa msaada wa vifaa mashuleni. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa wafanyakazi Vodacom Tanzania watembelea shule ya Sangu, Mbeya na shule ya Arusha Day kuadhimisha siku ya wananwake Duniani,watoa msaada wa vifaa mashuleni., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : wafanyakazi Vodacom Tanzania watembelea shule ya Sangu, Mbeya na shule ya Arusha Day kuadhimisha siku ya wananwake Duniani,watoa msaada wa vifaa mashuleni.
link : wafanyakazi Vodacom Tanzania watembelea shule ya Sangu, Mbeya na shule ya Arusha Day kuadhimisha siku ya wananwake Duniani,watoa msaada wa vifaa mashuleni.

soma pia


wafanyakazi Vodacom Tanzania watembelea shule ya Sangu, Mbeya na shule ya Arusha Day kuadhimisha siku ya wananwake Duniani,watoa msaada wa vifaa mashuleni.




 Mkuu wa mauzo wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini, Brigita Stephen (kulia) akimkabidhi zawadi Mkuu wa shule ya sekondari Arusha Day, Joyce Gyunah katika hafla iliyofanyika jijini Arusha jana. Katika kuadhimisha wiki ya wanawake duniani, Wafanyakazi wa Vodacom wametembelea shule hiyo ya wasichana na kuwapatia vifaa kwa ajili ya mahitaji yao ya shule ikiwa ni jitihada za kuhakikisha watoto wa kike wanafanya vizuri katika masomo na wanatimiza ndoto na malengo yao.

Mkuu wa mauzo wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini, Brigita Stephen akizungumza na wanafunzi wa kike wa shule ya sekondari Arusha Day na kuwahimiza kusoma kwa bidii, katika hafla iliyofanyika jijini Arusha jana. Katika kuadhimisha wiki ya wanawake duniani, kampuni ya Vodacom imetembelea shule hiyo ya wasichana na kuwapatia vifaa kwa ajili ya mahitaji yao ya shule ikiwa ni jitihada za kuhakikisha watoto wa kike wanafanya vizuri katika masomo na wanatimiza ndoto na malengo yao.

Meneja Masoko wa kampuni ya Vodacom Tanzania kanda ya Nyanda za juu kusini, Magreth Lawrence (kushoto) akimkabidhi daftari, Jackline Chaula, mwanafunzi wa kidato cha tano katika shule ya sekondari ya Sangu jijini Mbeya. Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani, wafanyakazi wa kampuni hiyo wametembelea, kuongea na kutoa zawadi na vifaa mbalimbali kwa wasichana ili kuwasaidia mahitaji yao ya shule ikiwa ni jitihada za kuhakikisha watoto wa kike wanafanya vizuri katika masomo na wanatimiza ndoto na malengo yao.
Meneja Masoko wa kampuni ya Vodacom Tanzania kanda ya Nyanda za juu kusini, Magreth Lawrence, akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Sangu juu ya umuhimu wa elimu kwa watoto wa kike. Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani, wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wametembelea shule hiyo na kuwapatia vifaa mbalimbali kwa ajili ya mahitaji yao ya shule ikiwa ni jitihada za kuhakikisha watoto wa kike wanafanya vizuri katika masomo na wanatimiza ndoto na malengo yao.


Hivyo makala wafanyakazi Vodacom Tanzania watembelea shule ya Sangu, Mbeya na shule ya Arusha Day kuadhimisha siku ya wananwake Duniani,watoa msaada wa vifaa mashuleni.

yaani makala yote wafanyakazi Vodacom Tanzania watembelea shule ya Sangu, Mbeya na shule ya Arusha Day kuadhimisha siku ya wananwake Duniani,watoa msaada wa vifaa mashuleni. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala wafanyakazi Vodacom Tanzania watembelea shule ya Sangu, Mbeya na shule ya Arusha Day kuadhimisha siku ya wananwake Duniani,watoa msaada wa vifaa mashuleni. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/wafanyakazi-vodacom-tanzania-watembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "wafanyakazi Vodacom Tanzania watembelea shule ya Sangu, Mbeya na shule ya Arusha Day kuadhimisha siku ya wananwake Duniani,watoa msaada wa vifaa mashuleni."

Post a Comment

Loading...