Loading...

WAFANYAKAZI WA DAWASA WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Loading...
WAFANYAKAZI WA DAWASA WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAFANYAKAZI WA DAWASA WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAFANYAKAZI WA DAWASA WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
link : WAFANYAKAZI WA DAWASA WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

soma pia


WAFANYAKAZI WA DAWASA WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI


Wanawake ambao ni Wafanyakazi wa Mamlaka ya MajiSafi na MajiTaka Dar es Salaam (DAWASA) leo wameungana na akinamama wa jijini Dar es Salaam kuadhimisha siku ya wanawake duniani iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City. Wafanyakazi hao waliingia na bango lenye ujumbe wa kumshukuru rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kuweza kumtua mama ndoo kichwani huku wakiwa wamebeba ndoo ya maji ikiwa ni ishara.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda akitoa hotuba yake katika maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam ambapo katika ujumbe wake aliishukuru Mamlaka ya MajiSafi na MajiTaka kwa kuweza kufika asilimia 60 ya utoaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa Dar es Salaam na Pwani. 
Pia katika salamu zake Mhe Makonda amewataka akinamama wote kuacha kuwa mstari wa nyuma katika kufanyakazi bali wajitokeze katika kupigania haki zao kwa usawa bila kujali jinsia yao. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Wafanyakazi wa DAWASA wakifuatilia hotuba ya mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye alikuwa ni mgeni rasmi katika maadhimisho hayo.
Wafanyakazi wa DAWASA wakifuatilia hotuba.
 Akinamama wa jiji la Dar es Salaam walifurika katika ukumbi wa Mlimani City kuhudhuria katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.
 Mwimbaji Stara Thomas akitoa burudani
 Akinamama kutoka nchini Kenya ambao waliungana na wenzao katika maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani.
 Msanii Mrisho Mpoto akitoa ujumbe kwa akinamama wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.


Hivyo makala WAFANYAKAZI WA DAWASA WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

yaani makala yote WAFANYAKAZI WA DAWASA WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYAKAZI WA DAWASA WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/wafanyakazi-wa-dawasa-washiriki.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAFANYAKAZI WA DAWASA WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI"

Post a Comment

Loading...