Loading...

Wafanyakazi wa Zantel wafanya usafi na kukabidhi vifaa soko la Saateni Zanzibar na Ilala Dar -Wananchi waelimisha zaidi faida za matumizi ya huduma ya EzyPesa

Loading...
Wafanyakazi wa Zantel wafanya usafi na kukabidhi vifaa soko la Saateni Zanzibar na Ilala Dar -Wananchi waelimisha zaidi faida za matumizi ya huduma ya EzyPesa - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wafanyakazi wa Zantel wafanya usafi na kukabidhi vifaa soko la Saateni Zanzibar na Ilala Dar -Wananchi waelimisha zaidi faida za matumizi ya huduma ya EzyPesa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wafanyakazi wa Zantel wafanya usafi na kukabidhi vifaa soko la Saateni Zanzibar na Ilala Dar -Wananchi waelimisha zaidi faida za matumizi ya huduma ya EzyPesa
link : Wafanyakazi wa Zantel wafanya usafi na kukabidhi vifaa soko la Saateni Zanzibar na Ilala Dar -Wananchi waelimisha zaidi faida za matumizi ya huduma ya EzyPesa

soma pia

Wafanyakazi wa Zantel wafanya usafi na kukabidhi vifaa soko la Saateni Zanzibar na Ilala Dar -Wananchi waelimisha zaidi faida za matumizi ya huduma ya EzyPesa

Meneja Mauzo wa Zantel Kanda ya Zanzibar, William Damas Chama akikabidhi vitendea kazi ya safi kwa mfanyakazi wa Manispa ya Zanzibar, Jina Mohamed Vuai (kulia) aliyepokea kwaniaba ya Mkuu wa soko la Saateni 
 Wafanyakazi wa Zantel wakiwa katika kazi ya usafi kwenye soko la Saateni nje kidogo ya mji wa Zanzibar
Wafanyakazi wa Zantel wakiwa katika kazi ya usafi kwenye soko la Saateni nje kidogo ya mji wa Zanzibar
Wafanyakazi wa Kampuni ya Zantel   wakifanya usafi katika soko la Ilala jijini Dar  es Salaam,  mara baada ya kukabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya usafi kwa uongozi wa soko hilo .

Wafanyakazi wa Zantel wameshiriki katika zoezi la usafi katika masoko ya kuuza mazao ya Ilala jijini Dar es Salaam na Saateni Zanzibar na kutoa msaada wa vifaa vya kufanyia usafi kwa uongozi wa masoko hayo ikiwa ni  moja ya mkakati wa kampuni hiyo kuwajibika na kujitoa kwa jamii.

Kupitia zoezi hili Zantel ina lengo la kuhamasisha wananchi kuwa na utamaduni wa kusafisha maeneo wanayofanyia biashara, kuhifadhi mazingira pamoja na kuelimisha jamii kuhusu madhara ya uchafu na takataka kiujumla.
Mbali na kufanya usafi wafanyabiashara  wa katika masoko hayo na wananchi wanaoishi jirani na maeneo hayo walipata fursa ya kuzifahamu huduma zinazotolewa na Zantel ikiwemo huduma ya fedha kupitia mtandao wake ya EzyPesa ambayo inarahisisha maisha kutuma na kupokea fedha sambamba na kufanya mihamala ya malipo ya huduma mbalimbali.

Hivyo makala Wafanyakazi wa Zantel wafanya usafi na kukabidhi vifaa soko la Saateni Zanzibar na Ilala Dar -Wananchi waelimisha zaidi faida za matumizi ya huduma ya EzyPesa

yaani makala yote Wafanyakazi wa Zantel wafanya usafi na kukabidhi vifaa soko la Saateni Zanzibar na Ilala Dar -Wananchi waelimisha zaidi faida za matumizi ya huduma ya EzyPesa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wafanyakazi wa Zantel wafanya usafi na kukabidhi vifaa soko la Saateni Zanzibar na Ilala Dar -Wananchi waelimisha zaidi faida za matumizi ya huduma ya EzyPesa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/wafanyakazi-wa-zantel-wafanya-usafi-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wafanyakazi wa Zantel wafanya usafi na kukabidhi vifaa soko la Saateni Zanzibar na Ilala Dar -Wananchi waelimisha zaidi faida za matumizi ya huduma ya EzyPesa"

Post a Comment

Loading...