Loading...
title : wajasiliamali maeneo ya Goba ,Ubungo jijini Dar
link : wajasiliamali maeneo ya Goba ,Ubungo jijini Dar
wajasiliamali maeneo ya Goba ,Ubungo jijini Dar
Wafanyabiashara ndogondogo wa kituo cha mabasi Goba wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam wakipanga biashara zao tayari kuwa kusubiri wateja.
Wafanyabiashara ndogondogo wa kituo cha mabasi Goba wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam wakisubiri wateja wanaotoka maeneo mbalimbali ya jijini ili kununua mahitaji yao.
Wafanyabiashara wakendelea na biashara zao katika kituo cha mabasi Goba wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam . (Picha na Emmanuel Massaka wa MMG)
Hivyo makala wajasiliamali maeneo ya Goba ,Ubungo jijini Dar
yaani makala yote wajasiliamali maeneo ya Goba ,Ubungo jijini Dar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala wajasiliamali maeneo ya Goba ,Ubungo jijini Dar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/wajasiliamali-maeneo-ya-goba-ubungo.html
0 Response to "wajasiliamali maeneo ya Goba ,Ubungo jijini Dar"
Post a Comment