Loading...

Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake,Habari na Utalii BLW wafanya ziara sehemu za kihistoria

Loading...
Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake,Habari na Utalii BLW wafanya ziara sehemu za kihistoria - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake,Habari na Utalii BLW wafanya ziara sehemu za kihistoria, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake,Habari na Utalii BLW wafanya ziara sehemu za kihistoria
link : Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake,Habari na Utalii BLW wafanya ziara sehemu za kihistoria

soma pia


Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake,Habari na Utalii BLW wafanya ziara sehemu za kihistoria

 Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake,Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi Mwantatu Mbaraka Khamis(katikati) akizungumza katika Mkutano maalum na Jumuiya ya Wawekezaji katika Sekta ya Utalii(ZATI)katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Kikwajuni Zanzibar
 Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake,Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi wakiteremka katika Pango la Gonga(GONGA CAVE)lililopo Muyuni Wilaya ya Kusini Unguja baada ya kufanya ziara maalum kutembelea Sehemu hiyo .
Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake,Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi wakipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Pango la  Gonga(GONGA CAVE) Issa Abdalla Ali  Muyuni Wilaya ya Kusini Unguja
 Msimamizi wa Pango la  Gonga(GONGA CAVE) Issa Abdalla Ali akionesha Mifupa ya Binaadamu iliokutwa ndani ya Pango hilo lililopo  Muyuni Wilaya ya Kusini Unguja

 Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake,Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi wakitembelea Msikiti wa Kizimkazi uliojengwa mwaka 1184 na Washirazi kutoka Pashia katika ziara maalum katika sehemu za Makumbusho na Mambo ya kale
 Msikiti wa Kizimkazi uliojengwa mwaka 1184 na Washirazi kutoka Persia namna Unavyoonekana kwa Ndani sehemu ya Kibla .

 Mtunzaji wa Msikiti wa Kizimkazi kutoka Idara ya Makumbusho na Mambo ya Kale Yussuf Rakib Ashkina akitoa maelezo kuhusu maandishi yaliomo ndani ya Msikiti huo kwa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake,Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.




Hivyo makala Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake,Habari na Utalii BLW wafanya ziara sehemu za kihistoria

yaani makala yote Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake,Habari na Utalii BLW wafanya ziara sehemu za kihistoria Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake,Habari na Utalii BLW wafanya ziara sehemu za kihistoria mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/wajumbe-wa-kamati-ya-maendeleo-ya_27.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake,Habari na Utalii BLW wafanya ziara sehemu za kihistoria"

Post a Comment

Loading...