Loading...
title : wanafunzi shule ya Sekondari kisutu waaswa kuzingatia masomo
link : wanafunzi shule ya Sekondari kisutu waaswa kuzingatia masomo
wanafunzi shule ya Sekondari kisutu waaswa kuzingatia masomo
Meneja wa kampeni ya Binti ya Kitaa David George akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya wasichana Kisutu katika maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani, leo jijini Dar es salaam na kuwahimiza mabinti hao kuishi katika ndoto zao ili kuweza kufikia malengo
Balozi wa kampeni ya Binti wa kitaa Salama Salim maarufu kama Sandra akiongea na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya wanawake Kisutu katika maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani, na kuwahimiza kuzingatia masomo yao ili waweze kutimiza malengo yao, leo jijini Dar es salaam.
Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya wanawake Kisutu wakimsikiliza Meneja wa kampeni ya Binti ya Kitaa David George.
Picha ya pamoja
Hivyo makala wanafunzi shule ya Sekondari kisutu waaswa kuzingatia masomo
yaani makala yote wanafunzi shule ya Sekondari kisutu waaswa kuzingatia masomo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala wanafunzi shule ya Sekondari kisutu waaswa kuzingatia masomo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/wanafunzi-shule-ya-sekondari-kisutu.html
0 Response to "wanafunzi shule ya Sekondari kisutu waaswa kuzingatia masomo"
Post a Comment