Loading...

Watanzania waombwa kujitokeza kwenye kongamano na maonesho ya Afya sayansi jumuiya ya Afrika Mashariki

Loading...
Watanzania waombwa kujitokeza kwenye kongamano na maonesho ya Afya sayansi jumuiya ya Afrika Mashariki - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Watanzania waombwa kujitokeza kwenye kongamano na maonesho ya Afya sayansi jumuiya ya Afrika Mashariki, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Watanzania waombwa kujitokeza kwenye kongamano na maonesho ya Afya sayansi jumuiya ya Afrika Mashariki
link : Watanzania waombwa kujitokeza kwenye kongamano na maonesho ya Afya sayansi jumuiya ya Afrika Mashariki

soma pia


Watanzania waombwa kujitokeza kwenye kongamano na maonesho ya Afya sayansi jumuiya ya Afrika Mashariki

KATIBU Mtemdaji wa Tume ya Utafiti katika Afya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Profesa Gibson Kibiti Amesema kuwa Utafiti unachangia katika kuimarisha ushirikiano katika kanda kwenye sekta ya Afya kwa mujibu wa ibara ya 118 ya mkataba.

Amesema mkataba wa kubuniwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki pamoja na vipengele vingine vya itifaki ya soko la pamoja ,tume hiyo pia hukuza dhamira kuu ya Jumuiya ambayo ni uhamiaji huru wa watu pamoja na uhamiaji wa huduma na bidhaa.

Akizungumza na waandishi wa Habari jana jijini Dar es Salaam ,kuhusu kongamano na maonyesho ya awamu ya Saba ya Afya ,sayansi,na biashara Jumuiya ya Afrika Mashariki .

Kibiti amesema Baraza la Mawaziri wa Jumuiya liliidhinisha kufanyika kwa kongamano na maonyesho kila mwaka na kila nchi ikiwa ni Mwenyeji kwa mzunguko kwa ushirikiano wa karibu na mashirika ya kimataifa ya kanda yanayoshughilika katika masuala ya Afya,asasi,za kuraia,watu binafsi na wadau wengine.

Akizungumzia maonyesho hayo na kongamano Kibiti amesema kongamano na maonyesho ya awamu ya Saba ya Afya ,sayansi,na biashara Jumuiya ya Afrika Mashariki pamoja na maonyesho ya kimataifa vimepangwa kufanyika kuazia Machi 23,hadi 29 mwaka 2019 jijini Dar Es Salaam.

Kauli mbiu ya mwaka huu'' Tecknolojia kwa ajili ya kubadili mifumo ya Afya ili kutimiza malengo endelevu ya maendeleo ya umoja wa mataifa" .alisema Kibiti

Kwaupande wake Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Mohamed Kambi akizungumzia kuhusu Tehama alisema dunia ya sasa Tehama katika sekta ya afya haiepukiki kwani hata Serikali imejipanga kuhakikisha eneo la afya linaleta tija.

Amesema ili serikali kuweza kupata mapato ,makusanyo yake yanafanyika kwa njia ya tehema huku akitolea mfano kwamba ndio maana hivi sasa hata mitandao ya Simu inatumika kwa ajili ya miamala ya fedha nakusisitiza hiyo yote ni maendeleo ya Tecknolojia ya Tehama.

"Nivema watanzania wakajiitokeza katika kongamano na maonyesho hayo ambayo yatafanyika kwa zaidi ya Siku moja kwani kutakuwa na mada 200 zitawasilishwa siku hiyo." Alisema Profesa kambi.
Mganga Mkuu wa Serikali,Profesa Mohamed Bakari akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewaomba watanzania kujitokeza katika kongamano na maonyesho ya saba ya Sayansi na Biashara ya jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 27-29 mwaka huu,katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi mkuu wa NIMR Prof. Yunus D Mgaya akisisitiza jambo katika mkutano ulio fanyika leo jijini Dar es Salaa.(katika) Katibu Mtemdaji wa Tume ya Utafiti katika Afya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Profesa Gibson Kibiti (kulia) Mganga Mkuu wa Serikali,Profesa Mohamed Bakari.
Mwenyekiti wa kongamano la saba la Sayansi jumuiya ya Afrika Mashariki,Profesa Eligius Lyamuya akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kongamano na maonyesho ya awamu ya saba ya Afya sayansi jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 27-29 mwaka huu,katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.(katika) Katibu Mtemdaji wa Tume ya Utafiti katika Afya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Profesa Gibson Kibiti. (kulia) Mganga Mkuu wa Serikali,Profesa Mohamed Bakari.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)


Hivyo makala Watanzania waombwa kujitokeza kwenye kongamano na maonesho ya Afya sayansi jumuiya ya Afrika Mashariki

yaani makala yote Watanzania waombwa kujitokeza kwenye kongamano na maonesho ya Afya sayansi jumuiya ya Afrika Mashariki Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Watanzania waombwa kujitokeza kwenye kongamano na maonesho ya Afya sayansi jumuiya ya Afrika Mashariki mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/watanzania-waombwa-kujitokeza-kwenye.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Watanzania waombwa kujitokeza kwenye kongamano na maonesho ya Afya sayansi jumuiya ya Afrika Mashariki"

Post a Comment

Loading...