Loading...

WATOTO WASIORIPOTI SHULE NA WAZAZI WAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI

Loading...
WATOTO WASIORIPOTI SHULE NA WAZAZI WAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATOTO WASIORIPOTI SHULE NA WAZAZI WAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATOTO WASIORIPOTI SHULE NA WAZAZI WAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI
link : WATOTO WASIORIPOTI SHULE NA WAZAZI WAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI

soma pia


WATOTO WASIORIPOTI SHULE NA WAZAZI WAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI

Mkuu wa wilaya ya Tunduru Juma Homera akizungumza katika kikao cha tathimini ya elimu ambapo ameagiza kufikishwa mahakamani kwa watoto wasioripoti shule na wazazi wenye watoto ambao hadi sasa bado wako majumbani.
 Mkuu wa wilaya ya Tunduru Juma Homera wa pili kulia,akiongoza kuimba wimba wa Taifa kabla ya kuanza kwa kikoa cha tahimini hya elimu katika wilaya hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Klasta mjini Tunduru kulia ni mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Gaspar Balyomi.

 Baadhi ya wadau wa elimu wa wilaya ya Tunduru wakimsikiliza mkuu wa wilaya hiyo Juma Homera wakati wa kikao cha tathimini ya elimu ambapo hadi kufikia tarehe 28 Februari jumla ya watoto 1239 kati ya 4195 waliochaguliwa kuanza masomo kwa mwaka 2019 hawajaripoti shule.
 Afisa elimu ya msingi wa wilaya ya Tunduru Anderson Mwalongo akitoa taarifa ya hali ya elimu katika kikao cha tathimini ya elimu katika wilaya hiyo katika ukumbi wa Klasta mjini Tunduru.


Hivyo makala WATOTO WASIORIPOTI SHULE NA WAZAZI WAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI

yaani makala yote WATOTO WASIORIPOTI SHULE NA WAZAZI WAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATOTO WASIORIPOTI SHULE NA WAZAZI WAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/watoto-wasioripoti-shule-na-wazazi-wao.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WATOTO WASIORIPOTI SHULE NA WAZAZI WAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI"

Post a Comment

Loading...