Loading...

WAZIRI LUGOLA AONGOZA KIKAO CHA TUME YA JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Loading...
WAZIRI LUGOLA AONGOZA KIKAO CHA TUME YA JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI JIJINI DAR ES SALAAM LEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI LUGOLA AONGOZA KIKAO CHA TUME YA JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI JIJINI DAR ES SALAAM LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI LUGOLA AONGOZA KIKAO CHA TUME YA JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
link : WAZIRI LUGOLA AONGOZA KIKAO CHA TUME YA JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

soma pia


WAZIRI LUGOLA AONGOZA KIKAO CHA TUME YA JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (meza kuu katikati) akiongoza kikao cha Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Kiutumishi na Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo, katika  Ukumbi wa Ofisi ndoo ya Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto Meza Kuu ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto) akimuapisha Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Hilda Tegwa kuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Utumishi na Utendaji wa Askari wa Majeshi hayo, katika Ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (meza kuu katikati) akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali, Jacob Kingu (kulia), alipokuwa anamfafanulia jambo katika kikao cha Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Kiutumishi na Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo. Kikao hicho kilifanyika, ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto Meza Kuu ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Hivyo makala WAZIRI LUGOLA AONGOZA KIKAO CHA TUME YA JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

yaani makala yote WAZIRI LUGOLA AONGOZA KIKAO CHA TUME YA JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI JIJINI DAR ES SALAAM LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI LUGOLA AONGOZA KIKAO CHA TUME YA JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI JIJINI DAR ES SALAAM LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/waziri-lugola-aongoza-kikao-cha-tume-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI LUGOLA AONGOZA KIKAO CHA TUME YA JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI JIJINI DAR ES SALAAM LEO"

Post a Comment

Loading...