Loading...

WAZIRI MKUU MGENI RASMI MECHI YA STARS NA THE CRANES

Loading...
WAZIRI MKUU MGENI RASMI MECHI YA STARS NA THE CRANES - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU MGENI RASMI MECHI YA STARS NA THE CRANES, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU MGENI RASMI MECHI YA STARS NA THE CRANES
link : WAZIRI MKUU MGENI RASMI MECHI YA STARS NA THE CRANES

soma pia


WAZIRI MKUU MGENI RASMI MECHI YA STARS NA THE CRANES

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusaidia Taifa Stars akitoa wito kwa wadau na wakazi wa Dar es Salaam wajitokeze kwa wingi kushangilia Taifa Stars wakiungana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhakikisha tunapata ushindi
 Msanii wa Filamu na Aliyekuwa Miss Tanzania, Wema Sepetu akitoa wito kwa Mashabiki na Team Wema Wote kufika kwa Wingi kuipa sapoti Taifa Stars .
 Mtaalamu wa Masuala ya Mitandao ya Kijamii,William Malecela Lemutuz akiwataka watu wote wanaotumia Mitandao ya kijamii kutumia simu zao kwa muda wa siku hizi tatu kutoa hamasa kwa ajili ya kuisapoti timu ya Taifa ya Tanzania.
 Mwenyekiti wa Bongo Movie Tanzania , Steve Nyerere akitoa wito kwa wapenzi wa Filamu kujitokeza kwa wingi

 Mchambuzi wa mpira wa Miguu, Eddo Kumwembe akizungumza na namna tunavyoweza kushinda.
 Muandishi na mchora Vibonzo Maharufu Nchini, Nathan Mpangala akieleza namna wachora Vibonzo walivyojipanga kuisadia Taifa Stars
Sehemu ya Waandishi wa Habari na Watu Maharufu walioshiriki mkutano wa kuhamasisha Taifa Stars Ishinde


Hivyo makala WAZIRI MKUU MGENI RASMI MECHI YA STARS NA THE CRANES

yaani makala yote WAZIRI MKUU MGENI RASMI MECHI YA STARS NA THE CRANES Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MGENI RASMI MECHI YA STARS NA THE CRANES mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/waziri-mkuu-mgeni-rasmi-mechi-ya-stars.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU MGENI RASMI MECHI YA STARS NA THE CRANES"

Post a Comment

Loading...