Loading...
title : Waziri Mwakyembe afanya mazungumzo na Amnesty International kuhusu Sekta ya Habari
link : Waziri Mwakyembe afanya mazungumzo na Amnesty International kuhusu Sekta ya Habari
Waziri Mwakyembe afanya mazungumzo na Amnesty International kuhusu Sekta ya Habari
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe (Kushoto ) akizungumza leo ofisini kwake Jijini Dodoma na Mwakilishi na Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty International Bibi Joan Nyanyuki kuhusu Sekta ya Habari hususani Wajibu wa vyombo vya Habari nchini kuandika na kusambaza habari zenye ukweli.
Mwakilishi na Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty International Bibi Joan Nyanyuki (Kulia) akizungumza leo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe ofisini kwa Mhe.Waziri Jijini Dodoma kuhusu Sekta ya Habari hususan Wajibu wa vyombo vya Habari nchini kuandika na kusambaza habari zenye ukweli.
Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty International Bw.Roland Ebole (Kulia) akizungumza leo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati) kuhusu Sekta ya Habari hususan Wajibu wa vyombo vya Habari nchini kuandika na kusambaza habari zenye ukweli ofisini kwa Mhe.Waziri Jijini Dodoma. Kulia ni Mwakilishi na Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty International Bibi Joan Nyanyuki
Hivyo makala Waziri Mwakyembe afanya mazungumzo na Amnesty International kuhusu Sekta ya Habari
yaani makala yote Waziri Mwakyembe afanya mazungumzo na Amnesty International kuhusu Sekta ya Habari Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mwakyembe afanya mazungumzo na Amnesty International kuhusu Sekta ya Habari mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/waziri-mwakyembe-afanya-mazungumzo-na.html
0 Response to "Waziri Mwakyembe afanya mazungumzo na Amnesty International kuhusu Sekta ya Habari"
Post a Comment