Loading...

ZOEZI LA UTOAJI ELIMU UNAENDELEA KWA WASAFIRISHAJI MKOANI MBEYA

Loading...
ZOEZI LA UTOAJI ELIMU UNAENDELEA KWA WASAFIRISHAJI MKOANI MBEYA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZOEZI LA UTOAJI ELIMU UNAENDELEA KWA WASAFIRISHAJI MKOANI MBEYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZOEZI LA UTOAJI ELIMU UNAENDELEA KWA WASAFIRISHAJI MKOANI MBEYA
link : ZOEZI LA UTOAJI ELIMU UNAENDELEA KWA WASAFIRISHAJI MKOANI MBEYA

soma pia


ZOEZI LA UTOAJI ELIMU UNAENDELEA KWA WASAFIRISHAJI MKOANI MBEYA

 Mkuu wa Kitengo cha Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Julius Chambo, akitoa elimu kwa madereva wa malori kuhusu utekelezaji wa Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, mjini Tunduma, mkoani Mbeya. Sheria hiyo imeshaanza kutumika tarehe 1 Machi, 2019.
 Dereva wa malori ya mizigo Bw. Juma Nachikolo, akiuliza swali kwa Mkuu wa Kitengo cha Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Julius Chambo (hayupo pichani), mara baada ya kupewa elimu ya Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyoanza kutumika tarehe 1 Machi, 2019, mjini Tunduma, mkoani Mbeya.
Baadhi ya madereva wa malori wakisikiliza elimu inayotolewa juu ya utumikaji wa  Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyoanza kutumika tarehe 1 Machi, 2019.


Hivyo makala ZOEZI LA UTOAJI ELIMU UNAENDELEA KWA WASAFIRISHAJI MKOANI MBEYA

yaani makala yote ZOEZI LA UTOAJI ELIMU UNAENDELEA KWA WASAFIRISHAJI MKOANI MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZOEZI LA UTOAJI ELIMU UNAENDELEA KWA WASAFIRISHAJI MKOANI MBEYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/zoezi-la-utoaji-elimu-unaendelea-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "ZOEZI LA UTOAJI ELIMU UNAENDELEA KWA WASAFIRISHAJI MKOANI MBEYA"

Post a Comment

Loading...