Loading...
title : Akatwa Sehemu Za Siri Na Mpenzi Wake Kwa Kutompa Fedha Ya Sikukuu
link : Akatwa Sehemu Za Siri Na Mpenzi Wake Kwa Kutompa Fedha Ya Sikukuu
Akatwa Sehemu Za Siri Na Mpenzi Wake Kwa Kutompa Fedha Ya Sikukuu
Na, Editha Edward-Tabora
Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Bilali Khamis (61) mkazi wa Mtaa wa Ushirika Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora amekatwa sehemu zake za siri na Mpenzi wake Veronica Ngayawula baada ya Kutompa fedha ya sikukuu ya Pasaka hali iliyopelekea kufanyiwa ukatili huo wa kijinsia
Tukio hili la kikatili limetokea majira ya saa saba usiku wa kuamkia tarehe 22 mwaka huu nyumbani kwa Bilali Khamis
Juma Maswezi ambaye ni ndugu wa Bilali ameiambia Michuzi Blog kuwa kitendo alichofanyiwa ndugu yake siyo kitu kizuri kwani ni uzalilishaji ulio kinyume na haki za binadamu
George Mgalega ni Mganga Mkuu mfawidhi Hospitali ya Wilaya amesema kuwa amekili kumpokea mgonjwa huyo
"Baada ya kumfanyia uchunguzi tumegundua kwamba ametendewa kitendo hicho kwa kutumia kitu ncha kali kwa hiyo afya yake itachukua muda mrefu sana kuimalika maana kidonda hiki kimekaa wazi kwa muda mrefu"amesema Mgalega
Hata hivyo kwa matibabu na uchunguzi zaidi mzee Bilali amepelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Nkiga Igunga huku Mpenzi wake Veronica Ngayawula akiwa ametokomea kusiko julikana.
Hivyo makala Akatwa Sehemu Za Siri Na Mpenzi Wake Kwa Kutompa Fedha Ya Sikukuu
yaani makala yote Akatwa Sehemu Za Siri Na Mpenzi Wake Kwa Kutompa Fedha Ya Sikukuu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Akatwa Sehemu Za Siri Na Mpenzi Wake Kwa Kutompa Fedha Ya Sikukuu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/akatwa-sehemu-za-siri-na-mpenzi-wake.html
0 Response to "Akatwa Sehemu Za Siri Na Mpenzi Wake Kwa Kutompa Fedha Ya Sikukuu"
Post a Comment