Loading...

BONANZA LA PASAKA: Muhimbili yaicharaza Mwera FC ya Zanzibar Goli 1-0

Loading...
BONANZA LA PASAKA: Muhimbili yaicharaza Mwera FC ya Zanzibar Goli 1-0 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BONANZA LA PASAKA: Muhimbili yaicharaza Mwera FC ya Zanzibar Goli 1-0, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BONANZA LA PASAKA: Muhimbili yaicharaza Mwera FC ya Zanzibar Goli 1-0
link : BONANZA LA PASAKA: Muhimbili yaicharaza Mwera FC ya Zanzibar Goli 1-0

soma pia


BONANZA LA PASAKA: Muhimbili yaicharaza Mwera FC ya Zanzibar Goli 1-0

Timu ya mpira wa miguu ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeendelea kuonyesha ubabe kwa timu mbalimbali zinazoshiriki michezo ya Pasaka inayofanyika Zanzibar baada ya kuichapa timu ya Mwera Fc goli 1-0 katika Viwanja vya Mbweni.

Tangu kipindi cha kwanza timu hizo zimeonyesha kandanda safi huku zikishambuliana kwa zamu lakini hadi zinakwenda mapumziko hakuna timu iliyokuwa imeona goli la mwenzake. 

Aidha, mara baada kipenga kupulizwa kipindi cha pili timu ya Muhimbili ilianza kwa kasi hivyo kupata goli la mapema dakika ya 51 kupitia kwa kiungo hatari Emmanuel Teophil.

Ushindi huo umeshuhudiwa na Mkurugenzi wa Kinga, Zanzibar Dkt.Fadhili Mohamed na Mkurugenzi wa Huduma za Tiba, Dkt. Praxeda Ogweyo kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Naye kocha wa timu ya Muhumibili  Teophil Joseph amesema mchezo ulikuwa mgumu na kwamba ushindi umepatikana kutokana na  maelekezo ya kocha. 

“Tunashukuru tumeshinda mechi japo kipindi cha kwanza kulikuwa na makosa madogo madogo hivyo kipindi cha pili tumerekebisha makosa hayo na kuweza kupata ushindi," amesema kocha Teophil.
 Mkurugenzi wa kinga Dkt. Fadhili Mohamedi akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kuanza kwa mchezo huo katika uwanja wa Mbweni,Zanzibar.
 Baadhi ya washabiki na wachezaji wa timu ya Muhimbili wakifuatilia mtanange huo kwa makini.
Mchezaji wa  timu ya muhimbili, Emmanuel Teophil akifunga goli la kwanza dhidi ya Mwera Fc  ya Zanzibar.


Hivyo makala BONANZA LA PASAKA: Muhimbili yaicharaza Mwera FC ya Zanzibar Goli 1-0

yaani makala yote BONANZA LA PASAKA: Muhimbili yaicharaza Mwera FC ya Zanzibar Goli 1-0 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BONANZA LA PASAKA: Muhimbili yaicharaza Mwera FC ya Zanzibar Goli 1-0 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/bonanza-la-pasaka-muhimbili-yaicharaza.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BONANZA LA PASAKA: Muhimbili yaicharaza Mwera FC ya Zanzibar Goli 1-0"

Post a Comment

Loading...