Loading...

BWAWA LA MINDU: MTIRIRIKO WA MAJI WA UHAKIKA NI MUHIMU

Loading...
BWAWA LA MINDU: MTIRIRIKO WA MAJI WA UHAKIKA NI MUHIMU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BWAWA LA MINDU: MTIRIRIKO WA MAJI WA UHAKIKA NI MUHIMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BWAWA LA MINDU: MTIRIRIKO WA MAJI WA UHAKIKA NI MUHIMU
link : BWAWA LA MINDU: MTIRIRIKO WA MAJI WA UHAKIKA NI MUHIMU

soma pia


BWAWA LA MINDU: MTIRIRIKO WA MAJI WA UHAKIKA NI MUHIMU

Mwenyekiti wa Bodi ya Tatu ya Maji ya Taifa Prof.Hudson Hamis Ngotagu (mwenye miwani) pamoja na wajumbe wa bodi, na baadhi ya watendaji wa Wizara ya Maji wakikagua mtiririko wa maji katika kituo cha upimaji cha Mzinga Konga, mkoani Morogoro. Mtiririko wa maji kuelekea katika bwawa la Mindu linalotegemewa kama chanzo cha maji mjini Morogoro umebainika kupungua kwa sababu ya matumizi yasiyofaa ya maji na shughuli nyingine za kibinadamu. 
Hali halisi ya mtiririko wa maji katika kituo cha Mzinga-Konga, vipimo vikionyesha kiwango cha maji yalivyopungua. 
1 Taswira ya hali ya maji katika bwawa la Mindu ambalo ni chanzo cha maji katika mji wa Morogoro. Kiwango cha maji kinachoonekana kinatakiwa kuongezeka kwa mujibu wa wataalam kwa kulinda mtiririko wa maji. Mito inayotiririsha maji katika bwawa la Mindu maji yake yamechepushwa au kubadilishwa mwelekeo kutokana na shughuli za kilimo ikiwamo mto Mlali na mto Mgera. 


Hivyo makala BWAWA LA MINDU: MTIRIRIKO WA MAJI WA UHAKIKA NI MUHIMU

yaani makala yote BWAWA LA MINDU: MTIRIRIKO WA MAJI WA UHAKIKA NI MUHIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BWAWA LA MINDU: MTIRIRIKO WA MAJI WA UHAKIKA NI MUHIMU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/bwawa-la-mindu-mtiririko-wa-maji-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BWAWA LA MINDU: MTIRIRIKO WA MAJI WA UHAKIKA NI MUHIMU"

Post a Comment

Loading...