Loading...

CCM YAANGUSHA NGOME YA UPINZANI KARATU, MADIWANI WATATU WA CHADEMA WABWAGA MANYANGA, MAELEKEZO MAZITO YA MIRADI YA MAJI YATOLEWA

Loading...
CCM YAANGUSHA NGOME YA UPINZANI KARATU, MADIWANI WATATU WA CHADEMA WABWAGA MANYANGA, MAELEKEZO MAZITO YA MIRADI YA MAJI YATOLEWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CCM YAANGUSHA NGOME YA UPINZANI KARATU, MADIWANI WATATU WA CHADEMA WABWAGA MANYANGA, MAELEKEZO MAZITO YA MIRADI YA MAJI YATOLEWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CCM YAANGUSHA NGOME YA UPINZANI KARATU, MADIWANI WATATU WA CHADEMA WABWAGA MANYANGA, MAELEKEZO MAZITO YA MIRADI YA MAJI YATOLEWA
link : CCM YAANGUSHA NGOME YA UPINZANI KARATU, MADIWANI WATATU WA CHADEMA WABWAGA MANYANGA, MAELEKEZO MAZITO YA MIRADI YA MAJI YATOLEWA

soma pia


CCM YAANGUSHA NGOME YA UPINZANI KARATU, MADIWANI WATATU WA CHADEMA WABWAGA MANYANGA, MAELEKEZO MAZITO YA MIRADI YA MAJI YATOLEWA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Karatu kimepokea Madiwani watatu wa Upinzani kutoka Chadema na mmojawapo akiwa Makamu wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu. Madiwani hao wanatoka kata za Ganako, Daa na Mbulumbulu.

Akizungumza katika Mkutano wa kuwapokea Madiwani hao Katibu wa HKT Mwenye dhamana ya Itikadi na Uenezi Ndg. H. Polepole amesema tofauti na nyakati nyingine awamu hii ya tano ya Uongozi wa Chama na Serikali chini ya Ndg. John Pombe Joseph Magufuli tumejifunza kwamba iko tija kubwa katika kusema na kisha kutenda.

 Ndg. Polepole ameelezea miradi mikubwa ya kimkakati na miradi mikubwa ya kisekta ikiwemo Elimu bure, Huduma za Afya, Barabara, Maboresho makubwa ya Kilimo na Upatikanaji wa maji inatekelezwa kwa haraka na asilimia kubwa ikiwa fedha za ndani.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatoa Maelekezo kwa Serikali kwamba ifikapo Julai 1, 2019, taasisi ndogo ndogo binafsi zinazojihusisha na utolewaji wa huduma za Maji zitakuwa chini ya Mamlaka ya Serikali ili kuongeza ubora, ufanisi na kushusha viwango vya bei za maji kwa wananchi ikiwemo hapa Karatu kwasababu jambo hili jema na ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya CCM amesema Ndg. Polepole

Shughuli ya kupokea Madiwani Wilayani Karatu imehudhuriwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg. Loata Sanare, Mjumbe wa HKT Mkoa wa Arusha Ndg. Daniel Awaki na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Karatu.

Huu ni muendelezo wa kazi za ujenzi na uimarishaji wa Chama ndani ya Chama na nje ya Chama ndani ya Jamii ikiwemo kujiridhisha utekelezwaji wa Ilani ya CCM.

Imetolewa na,

IDARA YA ITIKADI NA UENEZI
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)


Hivyo makala CCM YAANGUSHA NGOME YA UPINZANI KARATU, MADIWANI WATATU WA CHADEMA WABWAGA MANYANGA, MAELEKEZO MAZITO YA MIRADI YA MAJI YATOLEWA

yaani makala yote CCM YAANGUSHA NGOME YA UPINZANI KARATU, MADIWANI WATATU WA CHADEMA WABWAGA MANYANGA, MAELEKEZO MAZITO YA MIRADI YA MAJI YATOLEWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CCM YAANGUSHA NGOME YA UPINZANI KARATU, MADIWANI WATATU WA CHADEMA WABWAGA MANYANGA, MAELEKEZO MAZITO YA MIRADI YA MAJI YATOLEWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/ccm-yaangusha-ngome-ya-upinzani-karatu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CCM YAANGUSHA NGOME YA UPINZANI KARATU, MADIWANI WATATU WA CHADEMA WABWAGA MANYANGA, MAELEKEZO MAZITO YA MIRADI YA MAJI YATOLEWA"

Post a Comment

Loading...