Loading...

DAWASA YAANZA KUPELEKA MABOMBA YA MAJI MKURANGA,WANANCHI WAHIDIWA KUPATA MAJI DESEMBA MWAKA HUU

Loading...
DAWASA YAANZA KUPELEKA MABOMBA YA MAJI MKURANGA,WANANCHI WAHIDIWA KUPATA MAJI DESEMBA MWAKA HUU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DAWASA YAANZA KUPELEKA MABOMBA YA MAJI MKURANGA,WANANCHI WAHIDIWA KUPATA MAJI DESEMBA MWAKA HUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DAWASA YAANZA KUPELEKA MABOMBA YA MAJI MKURANGA,WANANCHI WAHIDIWA KUPATA MAJI DESEMBA MWAKA HUU
link : DAWASA YAANZA KUPELEKA MABOMBA YA MAJI MKURANGA,WANANCHI WAHIDIWA KUPATA MAJI DESEMBA MWAKA HUU

soma pia


DAWASA YAANZA KUPELEKA MABOMBA YA MAJI MKURANGA,WANANCHI WAHIDIWA KUPATA MAJI DESEMBA MWAKA HUU

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii


KATIKA kuhakikisha wananchi wa pembezoni mwa mji wanapata maji safi na salama, Mamlaka ya Majisafi na majitaka Mkoa wa Dar es Salaam (DAWASA) imedhamiria kuwapelekea maji wananchi wa Mkuranga ifikapo Desemba mwaka huu.

DAWASA kwa kutumia fedha za ndani takribani bilion 5.6 wameanza mchakato wa kupeleka mabomba na kuyalaza kwa urefu wa Km 15 kuanzia kwenye mradi huo na kuepelekwa maeneo ya karibu ya Mkuranga..

Akielezea mikakati hiyo, Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema kuwa mkandarasi ataingia kazini mwezi Mei mwaka huu kwa ajili ya kuanza ujenzi wa miundo mbinu itakayowezesha kusambaza maji kwa wananchi wa Mkuranga na maeneo ya karibu.

"Mkandarasi ataingia kazini Mwezi Mei mwaka huu, na kuanzia kesho April 12 tutaanza kazi ya ulazaji wa mabomba  yatakayokuwa na urefu kwa Km 15,"amesema Luhemeja.


Luhemeja amesema, mpaka sasa wananchi 2500 ndio wanaopata maji kati ya wananchi 25,500 na wamechimba kisima chenye urefu wa Mita 600 na kutajengwa tenki litakalokuwa na uwezo wa lkuhifadhi maji Lita Milion 1.5 kwa siku.


Amesema, hii ni mikakati ya kufungua maeneo ya pembezoni na mradi huu ukikamilika wananchi wa Mkuranga, Vikindu hadi Mbagala watanufaika kwa kupata maji safi na salama.

Mhandisi Luhemeja amewaomba wananchi kuvumilia mpaka Disemba wataanza kupata maji safi na salama ambapo yataondoa kero ya miaka mingi ya kutokuwa na huduma hiyo.


Hivyo makala DAWASA YAANZA KUPELEKA MABOMBA YA MAJI MKURANGA,WANANCHI WAHIDIWA KUPATA MAJI DESEMBA MWAKA HUU

yaani makala yote DAWASA YAANZA KUPELEKA MABOMBA YA MAJI MKURANGA,WANANCHI WAHIDIWA KUPATA MAJI DESEMBA MWAKA HUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DAWASA YAANZA KUPELEKA MABOMBA YA MAJI MKURANGA,WANANCHI WAHIDIWA KUPATA MAJI DESEMBA MWAKA HUU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/dawasa-yaanza-kupeleka-mabomba-ya-maji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DAWASA YAANZA KUPELEKA MABOMBA YA MAJI MKURANGA,WANANCHI WAHIDIWA KUPATA MAJI DESEMBA MWAKA HUU"

Post a Comment

Loading...