Loading...

Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na balozi wa Italia nchini

Loading...
Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na balozi wa Italia nchini - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na balozi wa Italia nchini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na balozi wa Italia nchini
link : Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na balozi wa Italia nchini

soma pia


Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na balozi wa Italia nchini

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Dkt. Damas Daniel Ndumbaro(Mb.), amefanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini, Mheshimiwa Roberto Mengoni katika ofisi za wizara Dodoma. Katika mazungumzo hayo, miongoni mwa mambo mengine, Tanzania na Italia zimekubaliana kuendelea kushirikiana katika sekta za uwekezaji, utalii pamoja na kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia. 
Mazungumzo yakiendelea. 
Msaidizi wa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Charles Faini (wa kwanza na kulia) na Afisa wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Kisa Mwaseba (wa mwisho kushoto), wakifuatilia mazungumzo baina ya Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Daniel Ndumbaro(Mb.) na Balozi wa Italia nchini, Mhe Roberto Mengoni. 
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (Mb.) na Balozi wa Italia nchini, Mhe Roberto Mengoni, wakiagana mara baada ya mazugumzo. 


Hivyo makala Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na balozi wa Italia nchini

yaani makala yote Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na balozi wa Italia nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na balozi wa Italia nchini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/dkt-ndumbaro-afanya-mazungumzo-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na balozi wa Italia nchini"

Post a Comment

Loading...