Loading...

HALMASHAURI ZATAKIWA KUTOBOMOA NYUMBA ZA WANANCHI KWENYE MAKAZI HOLELA

Loading...
HALMASHAURI ZATAKIWA KUTOBOMOA NYUMBA ZA WANANCHI KWENYE MAKAZI HOLELA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HALMASHAURI ZATAKIWA KUTOBOMOA NYUMBA ZA WANANCHI KWENYE MAKAZI HOLELA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HALMASHAURI ZATAKIWA KUTOBOMOA NYUMBA ZA WANANCHI KWENYE MAKAZI HOLELA
link : HALMASHAURI ZATAKIWA KUTOBOMOA NYUMBA ZA WANANCHI KWENYE MAKAZI HOLELA

soma pia


HALMASHAURI ZATAKIWA KUTOBOMOA NYUMBA ZA WANANCHI KWENYE MAKAZI HOLELA

Na Ahmed Mahmoud Arusha

WIZARA ya Ardhi ,Nyumba na Kakazi imezitaka halmashauri zote nchini kutokubomoa nyumba za wananchi ambazo zipo kwenye makazi holela,ambayo hayakupimwa na badala yake ziweke utaratibu utakaowezesha kuwapatia hati miliki wa nyumba hizo.

Agizo hilo limetolewa leo na Waziri wa Ardhi, nyumba na makazi , William Lukuvi ,alipokuwa kwenye maazimisho ya siku ya nyumba Duniani, ambayo imeandaliwa na benki ya NMB, kwa lengo la kuhamasisha wananchi kuchangamkia fursa ya mikopo ya nymba inayotolewa na benki ya NMB.

Waziri Lukuvi,amesema serikali inatambua asilimia 70 % ya wananchi wanaishi kwenye makazi holela ambayo hayakupangwa hawatakiwi kubomolewa nyumba zao badala yake imeaanzisha mpango wa kurasimisha makazi yao na hivyo wasibomolewe nyumba zao.

Amesema serikali katika kuhakikisha wananchi waisho kwenye makazi holela hawabomolewi nyumba zao imewezesha wamiliki wa nyumba hizo ambazo hazikupimwa wapate mikopo ya pesa kutoka kwenye benki ili wajinyanyue kiuchumi.

Lukuvi,amewataka wananchi kuwa wazalendo kwa kupima ardhi zao na kulipia kodi ya serikali ambayo imepunguzwa kutoka asilimia 15% hadi kubakia asilimia 1 % tu na kuhakikisha kila anayejenga nyumba anapata hati miliki .

Amesema kuwa amesikia kilio cha wananchi kuhusu tozo inayotozwa ya nyumba ambayo ni shilingi 250,000 ili kuwezesha kupata leseni ya makazi kuwa imekuwa ni kubwa hivyo wizara ya ardhi, makazi na nyumba, itatoa leseni hizo kwa wananch wote ambayo itakuwa ni shilingi 5000, ambayo itadumu kwa kipindi cha miaka mitano tu

Lukuvi,amesema punguzo hilo la tozo ni kuwapunguzia wananchi makali na baada ya miaka hiyo mitano watalazimika kulipa tozo hiyo ya shilingi 250,000 kwa kuwa hiyo itakuwa ni dhamana kwa mwenye nyumba..

Lukuv,amesema hajaridhishwa na benki nchini kutokana na kutotoa mikopo ya nyumba kwa wananchi na badala yake benki hizo zimekuwa zikitoa mikopo ya fedha.Amesema benki zinatakiwa kuwakopesha wananchi nyumba ambazo watazilipia kidogokidogo na hatimae wakimaliza madeni yao watamikilishwa nyumba hizo

Benki ya NMB ni mshirika mwenza wa shirika la nyumba nchini NHC, katika kuhakikisha wananchi wanakuwa na makazi bora na ambayo ni salama


Hivyo makala HALMASHAURI ZATAKIWA KUTOBOMOA NYUMBA ZA WANANCHI KWENYE MAKAZI HOLELA

yaani makala yote HALMASHAURI ZATAKIWA KUTOBOMOA NYUMBA ZA WANANCHI KWENYE MAKAZI HOLELA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HALMASHAURI ZATAKIWA KUTOBOMOA NYUMBA ZA WANANCHI KWENYE MAKAZI HOLELA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/halmashauri-zatakiwa-kutobomoa-nyumba.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "HALMASHAURI ZATAKIWA KUTOBOMOA NYUMBA ZA WANANCHI KWENYE MAKAZI HOLELA"

Post a Comment

Loading...