Loading...
title : IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI IRINGA
link : IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI IRINGA
IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI IRINGA
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (kulia) akizugumza jambo na kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro Wilbrod Mutafungwa aliyekutananae mkoani humo wakati akiwa njiani kuelekea mikoa ya Iringa na Njombe kwa ziara ya kikazi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (kushoto) akipokea salamu ya heshima ya kijeshi wakati alipowasili Leo katika mkoa wa Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku moja yenye lengo la kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa nyumba za makazi ya askari pamoja na utendaji wao wa kazi za Polisi. .
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (kulia) akimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi (kushoto) wakati alipomtembelea ofisini kwake leo mkoani humo akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku moja yenye lengo la kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa nyumba za makazi ya askari pamoja na utendaji wao wa kazi za Polisi, aliyepo katikati ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa Juma Bwire. Picha na Jeshi la Polisi.
Hivyo makala IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI IRINGA
yaani makala yote IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI IRINGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI IRINGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/igp-sirro-afanya-ziara-ya-kikazi-mkoani.html
0 Response to "IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI IRINGA"
Post a Comment