Loading...
title : Ijue vema logo ya Tanzania Diaspora 2019 Day, "Oldvai Gorge - Where it all Began".
link : Ijue vema logo ya Tanzania Diaspora 2019 Day, "Oldvai Gorge - Where it all Began".
Ijue vema logo ya Tanzania Diaspora 2019 Day, "Oldvai Gorge - Where it all Began".
Ijue vema logo ya Tanzania Diaspora 2019 Day inaendana na kauli mbiu ya mwaka husika. Mwaka huu ni "Oldvai Gorge - Where it all Began".
Mtafiti Dr. Leakey aligundua fuvu ambalo lilthibitika kuwa ni la miaka zaidi ya milion moja. Baada ya ugunduzi huo mkewe Dr. Leakey, Mary akiendelea na utafiti kwenye aneo la Leatoli akagundua nyayo ambazo zilithibitika kuwa ni za miaka zaidi ya milioni tatu.
Mwaka huu 2019 mwezi July itakuwa maadhimisho ya miaka 60 tangu ugunduzi huu na imekuwa kheri kwani na kauli yetu Tanzania Day ni ya kuhusiana na ugunduzi huo.
Sasa kuhusu logo. Ukiangalia logo unaona kama mguu na kiatu, lengo ni kusisitiza kuwa tangu wakati wa peku hadi viatu. Na nyayo inaelekea kaskazini kwani hata za Leatoli zilikutwa hivyo na inasadikiwa kuwa watu walitoka kusini kuelekea kaskazini hivyo imani ni kuwa wote ni "Diaspora" kutoka ...jibu unalo tujivunie.
Kwa wale ambao ni wataalam, kuna imani kuwa binadamu au zamadamu walilipoongezeka ukubwa wa ubongo ndiyo maarifa yalipozidi, kufuatia ugunduzi huu wa Oldvai inaaminika kuwa si ukubwa wa ubongo ila walipoanza kutembea wima wakawa na mikono ilikuwa free kufanya vitu vingine hivyo uvumbuzi wa zana ukawezekana.
Basi niishie hapa nadhani nimejibu na kukusisimua juu ya maana ya logo, chimbuko la diaspora na uzuri wa tulikotoka.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Karibu Dallas kama hutoweza wafahamishe na wakaribishe wengine wote tusaidiane kubrand our beautiful nation, Tanzania.
Tutakuwa na wageni na pia kuwatambua
Mr. Erasto Mpemba - Google him and also search for "Mpemba Effect" on YouTube
Bernard Kiwia - mbunifu toka Arusha
Prof. PLO Lumumba toka Kenya
Prof. Yanda Nobel prize winner from Tanzania
Mr. Joseph Kussaga
Balozi wa AU
Wewe na wote utakaowaalika wewe
tanzaniaday.com
Hivyo makala Ijue vema logo ya Tanzania Diaspora 2019 Day, "Oldvai Gorge - Where it all Began".
yaani makala yote Ijue vema logo ya Tanzania Diaspora 2019 Day, "Oldvai Gorge - Where it all Began". Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ijue vema logo ya Tanzania Diaspora 2019 Day, "Oldvai Gorge - Where it all Began". mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/ijue-vema-logo-ya-tanzania-diaspora.html
0 Response to "Ijue vema logo ya Tanzania Diaspora 2019 Day, "Oldvai Gorge - Where it all Began"."
Post a Comment