Loading...

Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Yatembelea Miradi Kisiwani Pemba

Loading...
Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Yatembelea Miradi Kisiwani Pemba - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Yatembelea Miradi Kisiwani Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Yatembelea Miradi Kisiwani Pemba
link : Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Yatembelea Miradi Kisiwani Pemba

soma pia


Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Yatembelea Miradi Kisiwani Pemba


MWENYEKITI wa kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya baraza la Wawakilishi Zanzibar, Hamza Hassan Juma akizungumza katika kikao cha kupokea taarifa ya robo ya tatu ya Januari-Machi kwa wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, huko mjini Chake Chake
BAADHI ya Wakurugenzi na watendaji wengine wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji  Zanzibar, wakifuatilia kwa makini uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa robo ya tatau ya wizara hiyo, kwa wajumbe wa kamati ya Ardhi na Mawasiliano kikao kilichofanyika mjini Chake Chake
KATIBU Mkuu izara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mustafa Aboud Jumbe, akisoma taarifa ya Robo ya Tatu ya Wizara hiyo kwa wajumbe wa kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya baraza la Wawakilishi Zanzibar, kikao kilichofanyika mjini Chake Chake
WAJUMBE wa kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakipitia baadhi ya vipengele katika taarifa ya robo ya tatau ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, kikao kilichofanyika Mjini Chake Chake
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


Hivyo makala Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Yatembelea Miradi Kisiwani Pemba

yaani makala yote Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Yatembelea Miradi Kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Yatembelea Miradi Kisiwani Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/kamati-ya-ardhi-na-mawasiliano-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Yatembelea Miradi Kisiwani Pemba"

Post a Comment

Loading...