Loading...

Maambukizi ya Ukimwi kwa Wasichana na Wanawake yamezidi kuongezeka

Loading...
Maambukizi ya Ukimwi kwa Wasichana na Wanawake yamezidi kuongezeka - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maambukizi ya Ukimwi kwa Wasichana na Wanawake yamezidi kuongezeka, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maambukizi ya Ukimwi kwa Wasichana na Wanawake yamezidi kuongezeka
link : Maambukizi ya Ukimwi kwa Wasichana na Wanawake yamezidi kuongezeka

soma pia


Maambukizi ya Ukimwi kwa Wasichana na Wanawake yamezidi kuongezeka

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.

 Maambukizi ya Ukimwi kwa vijana yamezidi kuongezeka na kufanya serikali kushindwa kufikia malengo kutokana vijana ndio nguvu kazi ya taifa.

Hayo aliyasema Mkurugenzi wa Baraza la Uwezeshaji Kiuchumi Bengi Issa kwa niaba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu wa Binge ,Vijana na Walemavu wakati Mkutano wa Wadau wanaotekeleza Afua za Wasichana Balehe na Wanawake Vijana Tanzania uliondaliwa na Tume ya Kudhibiti Ukimwa Nchini (TACAIDS) uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Issa amesema kuwa kutokana na hali hiyo vijana lazima muambiane ukweli kuhusiana na maambukizi ya Ukimwi kwa vijana wasichana walio katika balehe.Amesema serikali imekuwa ikitekeleza miradi ya Ukimwi ambapo aliongeza kuwa itaendelea kutoa ushirikiano kwa katika kufikia malengo ya kutomeza ugonjwa huo.

Issa amesema kuwa vijana katika kukabiliana na ugonjwa wa Ukimwi lazima teknolojia zilizopo zitumike katika kupeana habari.Bengi amesema mapambano ya ukimwi yafanyike kwa kila mtu katika nafasi yake kwani bila kufanya hivyo tutapoteza nguvu kazi ya taifa ambayo wahanga wakubwa ni wasichana walio katika Balehe na wanawake vijana.

Amesema afua hizo zimefanyika katika mikoa tisa lakini serikali itaendelea kushirikiana katika kumaliza mikoa yote.Nae Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi nchini (TACAIDS) Jumanne Isango amesema mkutano wa wadau wa muhimu katika kupeana mrejesho kwa utekelezaji wa mradi.

Amesema mapambano ya Ukimwi yanaendelea kwani bila kufanya hivyo nguvu kazi ya taifa itapungua na kushindwa kufikia katika ukuaji wa uchumi.Amesema vijana wasichana wanaoshiriki katika mradi wa sauti wameaswa kuendelea kuwa mabalozi ya kutoa elimu ya ukimwi katika maeneo yao ikiwa ni pamoja na kutumia teknolojia zilizopo katika karne ya 21.

Mwakilishi wa Unicef Urike Gilbert-Nandra amesema kuwa Unicef itaendelea kushirikiana na Tacaids katika mapambano ya ukimwi ili kuweza kufikia malengo.
 Mgeni Rasimi akiwa katika picha ya pamoja na wasichana walio katika mradi.
 Wadau katika mkutano wa TACAIDS
 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Nchini (TACAIDS) Jumanne Isango akitoa maelezo ya uandaji wa mkutano wa Mwaka wa Wadau Wanaotekeleza Afua Wasichana Balehe na Wanawake Vijana Tanzania uliofanyika jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Wadau wa Mkutano Tacaids
 Mwakilishi wa Unicef. Urike Gilbert-Nandra akitoa maelezo namna Unicef inavyoshiriki katika mapambano ya Ukimwi katika mkutano wa mwaka wa Wadau wanaotekeleza afua za wasichana Balehe na wanawake vijana Tanzania uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Baraza la Uwezeshaji Kiuchumi Bengi Issa akizungumza katika Mkutano wa Mwaka wa Wadau wanaotekeleza Afua za Wasichana Balehe na Wanawake vijana Tanzania Uliofanyika jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala Maambukizi ya Ukimwi kwa Wasichana na Wanawake yamezidi kuongezeka

yaani makala yote Maambukizi ya Ukimwi kwa Wasichana na Wanawake yamezidi kuongezeka Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maambukizi ya Ukimwi kwa Wasichana na Wanawake yamezidi kuongezeka mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/maambukizi-ya-ukimwi-kwa-wasichana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Maambukizi ya Ukimwi kwa Wasichana na Wanawake yamezidi kuongezeka"

Post a Comment

Loading...