Loading...
title : Mabingwa wa ligi Kuu Zanzibar KMKM wakabidhiwa rasmi kombe lao
link : Mabingwa wa ligi Kuu Zanzibar KMKM wakabidhiwa rasmi kombe lao
Mabingwa wa ligi Kuu Zanzibar KMKM wakabidhiwa rasmi kombe lao
Na Hawa Ally
MABINGWA wapya wa ligi kuu ya Zanzibar KMKM wamekabidhiwa kombe lao jana rasmi baada ya kukamilisha mechi yao ya mwisho Kati yao na JKU.KMKM wamefanikiwa kutwaa ubingwa huo baada ya kufikisha pointi 80 ubingwa ambao walioukosa karibu miaka mitano .Kombe hilo walikabidhiwa na kamishna wa Michezo Sharifa Khamis ambae alikuwa mgeni rasmi wa mchezo huo wa kumalizika ratiba kwa timu zote.Katika mchezo huo KMKM walianza kuandika bao la Kwanza mnamo dakika ya 34 kupitia kwa mfungaji wake Mussa Ali Mbarouk ambalo lilidumu Hadi mapumziko.KMKM ambao walitangulia kupata ubingwa.huo wakiwa na mchezo mmoja mkononi waliingia kipindi cha pili na kuendelea kuliandama lango la wapinzani wao hao .Bao la pili la KMKM lilifungwa tena na Mussa Ali Mbarouk ambae amefikisha bao la 23 na kutangazwa kuwa mfungaji Bora na Abuubakar Khamis Sufiani wa zimamoto ambae nae alifunga idadi Kama hiyo lakini alitangazwa kuwa mchezaji Bora.Mapema uwanjani hapo kulikuwa na mchezo Kati ya Zimamoto na Polisi ambapo ulimalizika kwa Zimamoto kushinda mabao 2-1.Katika mchezo huo Zimamoto mabao yake yalifungwa na Abuubakar Khamis Sufiani na Mohammad Prince na la Polisi likifungwa na Hassan Makame.Huko katika uwanja wa Mao Ze Dong timu ya Malindi ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mafunzo.
Hivyo makala Mabingwa wa ligi Kuu Zanzibar KMKM wakabidhiwa rasmi kombe lao
yaani makala yote Mabingwa wa ligi Kuu Zanzibar KMKM wakabidhiwa rasmi kombe lao Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mabingwa wa ligi Kuu Zanzibar KMKM wakabidhiwa rasmi kombe lao mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/mabingwa-wa-ligi-kuu-zanzibar-kmkm.html
0 Response to "Mabingwa wa ligi Kuu Zanzibar KMKM wakabidhiwa rasmi kombe lao"
Post a Comment