Loading...

MAHAKAMA YAUTAKA UPANDE WA MASHTAKA KUANDAA MASHAHIDI WOTE KWENYE KESI DHIDI YA VIGOGO WA SIMBA

Loading...
MAHAKAMA YAUTAKA UPANDE WA MASHTAKA KUANDAA MASHAHIDI WOTE KWENYE KESI DHIDI YA VIGOGO WA SIMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHAKAMA YAUTAKA UPANDE WA MASHTAKA KUANDAA MASHAHIDI WOTE KWENYE KESI DHIDI YA VIGOGO WA SIMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHAKAMA YAUTAKA UPANDE WA MASHTAKA KUANDAA MASHAHIDI WOTE KWENYE KESI DHIDI YA VIGOGO WA SIMBA
link : MAHAKAMA YAUTAKA UPANDE WA MASHTAKA KUANDAA MASHAHIDI WOTE KWENYE KESI DHIDI YA VIGOGO WA SIMBA

soma pia


MAHAKAMA YAUTAKA UPANDE WA MASHTAKA KUANDAA MASHAHIDI WOTE KWENYE KESI DHIDI YA VIGOGO WA SIMBA

 
 Na Karama Kenyunko, Michuzi TV
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka kuhakikisha inaandaa wote wanaotarajiwa kutoa ushahidi wao dhidi ya kesi ya vigogo wa Simba ambayo itasikilizwa kwa siku tatu mfululizo, mwezi ujao.

Washtakiwa katika kesi hiyo ni aliyekuwa Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, Makamu wake, Geofrey Nyange maarufu kwa jina la Kaburu na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Klabu ya Simba, Zacharia Hans Poppe.

Hatua hiyo imekuja baada ya Wakili wa Takukuru,Leonard Swai kudai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kuwa shauri hilo lilikuja kwa ajili ya kusikilizwa lakini mshtakiww Aveva hayupo.

Hakimu Simba amesema shauri hilo litakapokuja tena mahakamani hapo tunawahitaji mashahidi wote waliobaki kufika kwa ajili ya kutoa ushahid. " Upande wa mashtaka tunategemea mtatuletea mashahidi wote waliobaki ambao nataka watoe ushahidi kwa siku tatu mfululizo,"amesema Simba.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Mei 13 kwa ajili ya kutajwa na itasikilizwa Mei, 15, 16 na 17 mwaka huu.

Katika kesi hiyo Hans Poppe anakabiliwa na mashtaka mawili ya kughushi nyaraka na kuwasilisha nyaraka za uwongo yeye pamoja na wenzake.

Aveva na Kaburu wanakabiliwa na mashtaka mengine zaidi ya matumizi mabaya ya madaraka kwa kuhamisha fedha hizo bila mamlaka ya Kamati ya Utendaji ya Simba, kujipatia pesa isivyo halali (Aveva) na utakayishaji fedha yanayowakabili wote, Aveva na Kaburu.

Katika maelezo ya awali, washtakiwa hao wanadaiwa kuwa Machi 12, 2016, Klabu ya Simba ililipwa jumla ya Dola za kimarekani 319, 212 na Klabu ya Etoile Sportive Du Sahel ya nchini Tunisia.

Kiasi hicho cha fedha kilikuwa ni ada ya uhamisho wa mchezaji Emmanuel Okwi kwenda Klabu ya Etoile Sportive Du Sahel ya nchini Tunisia.


Hivyo makala MAHAKAMA YAUTAKA UPANDE WA MASHTAKA KUANDAA MASHAHIDI WOTE KWENYE KESI DHIDI YA VIGOGO WA SIMBA

yaani makala yote MAHAKAMA YAUTAKA UPANDE WA MASHTAKA KUANDAA MASHAHIDI WOTE KWENYE KESI DHIDI YA VIGOGO WA SIMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHAKAMA YAUTAKA UPANDE WA MASHTAKA KUANDAA MASHAHIDI WOTE KWENYE KESI DHIDI YA VIGOGO WA SIMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/mahakama-yautaka-upande-wa-mashtaka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAHAKAMA YAUTAKA UPANDE WA MASHTAKA KUANDAA MASHAHIDI WOTE KWENYE KESI DHIDI YA VIGOGO WA SIMBA"

Post a Comment

Loading...