Loading...

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA KUMBUKUMBU YA HAYATI ABEID AMANI KARUME

Loading...
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA KUMBUKUMBU YA HAYATI ABEID AMANI KARUME - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA KUMBUKUMBU YA HAYATI ABEID AMANI KARUME, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA KUMBUKUMBU YA HAYATI ABEID AMANI KARUME
link : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA KUMBUKUMBU YA HAYATI ABEID AMANI KARUME

soma pia


MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA KUMBUKUMBU YA HAYATI ABEID AMANI KARUME







 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa Ufunguzi wa  Kongamano la Pili la Maadhimisho ya kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Kwanza wa Baraza la Mapinduzi Hayati Sheikh Abeid Amani Karume linalofanyika kwenye Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Zanzibar Bubu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Mjane wa Marehemu Bibi Fatma Karume akizungumzia namna walivyohamasisha wanawake wapewe fursa ya kupiga kura kwenye harakati za kutafuta Uhuru wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Pili la Maadhimisho ya kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Kwanza wa Baraza la Mapinduzi Hayati Sheikh Abeid Amani Karume linalofanyika kwenye Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Zanzibar Bubu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA KUMBUKUMBU YA HAYATI ABEID AMANI KARUME

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA KUMBUKUMBU YA HAYATI ABEID AMANI KARUME Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA KUMBUKUMBU YA HAYATI ABEID AMANI KARUME mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/makamu-wa-rais-afungua-kongamano-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA KUMBUKUMBU YA HAYATI ABEID AMANI KARUME"

Post a Comment

Loading...